Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,656
- 6,886
Njaa tu hiyo mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
True storyWatu wabaya ndio huwafi haraka maana MUNGU anawaacha ili wapate nafasi ya kutubu. Watu wazuri wanakufa haraka, MUNGU anawachukua ili wasije kumtenda uovu wakaikosa mbingu.
Ninachojua mimi " watu wema hawadumu" angalia JPM ambae alikuwa mkombozi wa Tz hakudumu. Labda Mungu alitaka akaongoze malaika wake.
Astghafirullah ! Huyu mzee anyang'anywe buyu la asali, litakuwa limemlevya
Kuna uhusiano gani kati ya kuwa mfia dini na kukosa akili?Wewe mfia dini, hii kauli mzee makamba kaikosea kidogo angeiweka kwa namnaa nyingine. Watu wote hufa, uwe mzuri au mbaya kifo ni lazima.
Sikia dada!Acha kuwa muoga. Funguka. Si umesema kila anayemchukia jiwe ni mpumbavu? Hao wazee wote wanamchukia jiwe, je ni wapumbavu?
Mtoto wa mwinyi aliyekufa alikuwa syo mzuri? Maalimu seif alikuwa syo mzuri? Kazee sa hivi akili zishamruka ndo maana kakihojiwa kanapaniki ovyoKasema kweli we uoni Kikwete na Mzee Mwinyi wapo hai hadi leo
Mkuu kama Magufuli angekuwa kweli kama hivyo mnavyomuelezea kwamba alikuwa anauwa watu hovyo basi angekuwa keshawamaliza hawa watu maana aliwajua toka yupo hai asingewaacha walikuwa wabaya wake, labda tuseme aliona noma au kuna namna iliyomfanya ashindwe kuwauwa kama alivyokuwa anauwa hovyo hao wengine.
Watu wabaya ndio huwafi haraka maana MUNGU anawaacha ili wapate nafasi ya kutubu. Watu wazuri wanakufa haraka, MUNGU anawachukua ili wasije kumtenda uovu wakaikosa mbingu.
Sikia dada!
Magufuli anachukiwa na wapumbavu tu!
Mnafiki tu huyu! Kwani wakati ule yeye hakuwemo kati ya waliokuwa wakisifu na kuabudu?Anataka kumaanisha nini? haya maisha haya ukifa ndio utajua nani mwema kwako na nani adui kwako tuishini vizuri tu tukiwa hai.
Ccm wana vituko hasa..Hata hivyo Rais Samia amesema Mzee Makamba ameteleza tu ulimi kwa Kauli hiyo ya kwamba Watu wazuri hawafi kutokana na kuwa emotional