Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtawala wa wapi huyuKumbe mungu wako anabagua watawala tu?
Muhamadi nae alikuwa mbaya kumbe?
Wewe wasemaUnataka kusema mzee Makamba , Kikwete na Kinana ni wapumbavu?
Acha kuwa muoga. Funguka. Si umesema kila anayemchukia jiwe ni mpumbavu? Hao wazee wote wanamchukia jiwe, je ni wapumbavu?Wewe wasema
Mzee Makamba amesema Wanaccm Wana Iman kubwa sana na Rais Samia na 2025 atashinda kwa kishindo
Mzee Makamba ametaka CCM kupitisha Azimio la kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea Urais pekee kea ticket ya CCM 2025
Makamba amesema hakuna haja ya kuogopa kwani Watu wazuri na wanaopendwa hawafi ndio sababu mzee Kinana yupo na mzee Jakaya yupo
Makamba amesema Wapinzani akina Chadema ajenda zao ni 2 tu Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi lakini Wananchi hawali Katiba. Kule kwetu kwa mfano Wananchi wanataka Maji, Umeme, Huduma Bora za Afya na Elimu ambazo zimo kwenye ilani ya CCM hivyo Wapinzani wasahau kabisa habari ya Ushindi 2025
Hata hivyo Rais Samia amesema Mzee Makamba ameteleza tu ulimi kwa Kauli hiyo ya kwamba Watu wazuri hawafi kutokana na kuwa emotional
Source TBC
Jua kuandika kwanza unahandika kama unahandika Kiarabu kumbe KiswahiliHebufikilia watuwaliobomolewa nyumbazao Kimara mbeziwakilia munguawasikii mbonakwaomwanzaalikatazabomobomoa unahisialikuwa narohonzuri wakulimawakorosho Wakalia mbaaziwakalia mahindiwakalia munguakuache mwacheaeende akawekiongoziwamashetani
Tofauti ya Makamba na Mwijaku ni Mvi tu 😂😂😂Mwenye asili yake haachi. hao anaojifanya anawasifia wakimpa mgongo anakandamiza vile vile.
Vizee kama hivi maisha yao yote vimeishi kwa majungu na unafiki kiasi kwamba wanaamini bili uzandiki hawawezi kuishi.
Anasema kule kwao wananchi wanataka maji, umeme, huduma bora za afya na elimu. Anasema katiba siyo chakula. Kwahiyo wananchi wao shida yao ni chakula tu na hizo huduma nyingine zimeshindikana kwa zaidi ya miaka zaidi ya sitini baada ya uhuru!Mzee Makamba amesema Wanaccm Wana Iman kubwa sana na Rais Samia na 2025 atashinda kwa kishindo
Mzee Makamba ametaka CCM kupitisha Azimio la kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea Urais pekee kea ticket ya CCM 2025
Makamba amesema hakuna haja ya kuogopa kwani Watu wazuri na wanaopendwa hawafi ndio sababu mzee Kinana yupo na mzee Jakaya yupo
Makamba amesema Wapinzani akina Chadema ajenda zao ni 2 tu Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi lakini Wananchi hawali Katiba. Kule kwetu kwa mfano Wananchi wanataka Maji, Umeme, Huduma Bora za Afya na Elimu ambazo zimo kwenye ilani ya CCM hivyo Wapinzani wasahau kabisa habari ya Ushindi 2025
Hata hivyo Rais Samia amesema Mzee Makamba ameteleza tu ulimi kwa Kauli hiyo ya kwamba Watu wazuri hawafi kutokana na kuwa emotional
Source TBC
Kuhandika? Kweli nyani haoni kundule.Jua kuandika kwanza unahandika kama unahandika Kiarabu kumbe Kiswahili
Sio watu wote huamini ipo Ahera !! Wengine wanaamini maisha ni hapa hapa duniani tu !! Utawajua kwa kauli zao na vitendo vyao. !!Sasa huyu mzee anataka amiliki nini hasa ndio aamini kuwa keshatosheka. Ni fedheha kwa mtu wa umri wake kuendekeza uchawa.
Alipaswa arudi kwa Mungu wake kipindi hiki kujitengenezea ahera yake. Lakini wapi, bado anakuwa chawa ili aendelee kupewa.
Kama hakuwashughulikia kwa namna moja ama ingine unadhani wangekuwaje na chuki nae? Magufuli alimfurumusha mwanae kipenzi na kumpa wakati mgumu kipindi cha utawala wake. Ndio maana Makamba ana chuki mnoMagufuli wenu sikumpenda hata kidogo baada ya kuanza kuua watu hovyo na kuona upinzani ni uadui, lakini lazima nikiri kuwa watu wanafiki kama huyu ndiyo alitakiwa awafanye kitu kibaya kabisa ikibidi awapoteze. Angekuwa amewashughulikia na kuona upinzani ni washirika wake Tanzania ingekuwa mahali pazuri sana leo. Maskini hakujua kuwa maadui wake halisi ni wana CCM wenzake. Huyu mzee anawakilisha mawazo ya akina Kinana, Kikwete na wengine wengi.
Black Sniper, Uhuru JR, na Denoo J huwa mnaandika ujumbe mzuri sana na kujibu hoja kwa hekima bila kujikita kwenye ubaguzi wa dini, vyama vya kisiasa, kabila, utaifa, rangi, jinsi wala umri.Dalili za mchawi utazijua tu
Kwa maneno na vitendo pia
Kwa hiyo yeye yupo kwenye kundi gani wasiokufa kabisa au
Ni ajabu sana kuzungumzia kifo wakati tunajua fika kifo kipo kwa kiumbe yeyote yule awe mtoto, mzeee, mchawi, mwizi, na hata muuwaji
Atafute kundi tunuweke
Makamba mwenyewe hapo halipo Sukari imeisha mtafuna hadi ubongo,anasubiria kifo, harafu anadhiaki kifo,hiki nacho kichekesho kingine.Karume alipigwa shaba mchana kweupe wakati wazanzibari walikuwa wanamkubali, alafu anasema wazuri hawafi.mpuuzi tu kalewa buyu la asaliMzee Makamba amesema Wanaccm Wana Iman kubwa sana na Rais Samia na 2025 atashinda kwa kishindo