Mzee Makamba: Watu wazuri huwa hawafi ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!

Mzee Makamba: Watu wazuri huwa hawafi ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!

Huu ni UROPOKAJI uliozidi hata mipaka yenyewe ya uropokaji kutoka kwa mzee kama yeye...
 
Wanatumia nguvu nyingi kushindana na Marehem mpaka sasa Marehem 2 wenyewe 0
 
Mzee Makamba amesema Wanaccm Wana Iman kubwa sana na Rais Samia na 2025 atashinda kwa kishindo

Mzee Makamba ametaka CCM kupitisha Azimio la kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea Urais pekee kea ticket ya CCM 2025

Makamba amesema hakuna haja ya kuogopa kwani Watu wazuri na wanaopendwa hawafi ndio sababu mzee Kinana yupo na mzee Jakaya yupo

Makamba amesema Wapinzani akina Chadema ajenda zao ni 2 tu Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi lakini Wananchi hawali Katiba. Kule kwetu kwa mfano Wananchi wanataka Maji, Umeme, Huduma Bora za Afya na Elimu ambazo zimo kwenye ilani ya CCM hivyo Wapinzani wasahau kabisa habari ya Ushindi 2025

Hata hivyo Rais Samia amesema Mzee Makamba ameteleza tu ulimi kwa Kauli hiyo ya kwamba Watu wazuri hawafi kutokana na kuwa emotional

Source TBC
Hili jitu naona linakwenda kubaya, kwahiyo hawatakufa/
 
Taizo itikadi za upinzani zinawapoteza.. kabisa mtu unamjua adui yako ni huyu na hakutakii mema unaacha kumuua unaenda kuua mwenyekiti wa chadema wa mtaa? Hawa upinzani hawajielewi..wangejielewa na kuelewa wananchi wana akili gani muda huu, wangekua na nguvu sana

Mawazo yako yanaweza kuwa sahihi kwako lakini kiuhalisia yakawa ya uongo. Rais anapotangaza hadharani kwamba upinzani wametichelewesha Sana ana maana gani?. Rais kumwambia Spika wa bunge awashughulikie ndani yeye atawashughulikia wapinzani nje ya bunge. Kauli hizi ni ushahidi wa nia yake ovu.

All in all Magufuli alitumia muda mwingi kupambana ana CHADEMA bila kujua ataiacha Chadema ambayo ndio ilipiga kelele kuwa Rais ni mgojwa na hata alipokufa.
 
Mzee Makamba amesema Wanaccm Wana Iman kubwa sana na Rais Samia na 2025 atashinda kwa kishindo

Mzee Makamba ametaka CCM kupitisha Azimio la kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea Urais pekee kea ticket ya CCM 2025

Makamba amesema hakuna haja ya kuogopa kwani Watu wazuri na wanaopendwa hawafi ndio sababu mzee Kinana yupo na mzee Jakaya yupo

Makamba amesema Wapinzani akina Chadema ajenda zao ni 2 tu Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi lakini Wananchi hawali Katiba. Kule kwetu kwa mfano Wananchi wanataka Maji, Umeme, Huduma Bora za Afya na Elimu ambazo zimo kwenye ilani ya CCM hivyo Wapinzani wasahau kabisa habari ya Ushindi 2025

Hata hivyo Rais Samia amesema Mzee Makamba ameteleza tu ulimi kwa Kauli hiyo ya kwamba Watu wazuri hawafi kutokana na kuwa emotional

Source TBC
Kifo sio safari ya kwenda Qatar kuangali kombe la Dunia na kwamba Kuna siku utarudi home,Kila nafsi hai itaonja mauyi wakiwemo wema na wabaya.kauli kama Ile mbele ya watu waliofiwa na wapendwa wao inarudisha watu nyuma kimawazo.

Yesu Kristu alikufa alikua mtu mwema,akina kwame Nkrumah,sinkara,Machel na Nyerere ni miongoni mwa watu wema waliojitoa maisha yao kwaajili ya wengine.

Tuache kufuru kwasabu ya uzima wa muda alotupa Mola
 
Kejeli hizo akumbuke dunia uwanja wa fujo tu tunapita chuki yake isimfanye asahau kua hata yeye siku moja ataiacha dunia
Huyu ameshayaishi maisha yake, uzee huenda unamfanya asahau kuhusu woga wa kuiacha dunia.
 
Kwa hiyo wazazi wake hawakuwa wazuri ndiyo maana walikufa?

Wajinga nao huzeeka na ujinga wao.
 
Anataka kumaanisha nini? haya maisha haya ukifa ndio utajua nani mwema kwako na nani adui kwako tuishini vizuri tu tukiwa hai.
Binamu bhana...

Sa' mtu ushakufa utajuaje tena yanayoendelea huku duniani?!
 
Mpumbavu mmoja wewe roho mbaya kwako nikufukuzwa kazi kisa chet feki..
Leo vijana wangapi wamefung saloon zao na office znazotegemea umeme.
Kama sio chet feki wew ni mvaa kobaz

Mpumbavu mwenyewe mjaa laana. Mimi nahusika na umeme? Si Ni ccm yako hiyo. Miaka 60 bado umeme wa shida halafu unanilaumu Mimi. Vyeti feki vyako usiniletee Mimi, Kama unatmia vyeti feki ni wewe.

Kweli wewe punguani. Kama unaona jambo ni zuri kwako usilazimushe wote walione ni zuri. Kama Magufuli alikuwa mzuri kwako Baki nalo usinilazimishe.
 
wamajua, mara umeme wa moyo, kwemye royo tuwa tukasema korona baadae tukasema mungu aliamua ugomvi. baadae tuaksema wazee tulisema hapana na sasa wazuri hawafi maana yake ilitakiwa afe iwe jua iwe mvua
Damu ya mtu haiwezi kuwaacha hivihivi.
 
Back
Top Bottom