love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
Makamba ns nduguze wataishi mileleHahahaj.......wazuri wataishi milele lakini sio hapa duniani maana dunia yenyewe pia haitakuwepo milele.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makamba ns nduguze wataishi mileleHahahaj.......wazuri wataishi milele lakini sio hapa duniani maana dunia yenyewe pia haitakuwepo milele.
Wanasema wana mungu wao huwa anaamua ugomvi huko ccmIna Maana Magufuli wazee walikaa wakapitisha Uamuzi kwamba sasa basi?
Ina maana kubwa sana hoyo kauli ya "Makamba".
Kweli mapenzi ya mungu wao wa huko ccmKama ni hivyo basi kumbe Jiwe ilikuwa mapenzi ya mungu.
Hili jitu naona linakwenda kubaya, kwahiyo hawatakufa/Mzee Makamba amesema Wanaccm Wana Iman kubwa sana na Rais Samia na 2025 atashinda kwa kishindo
Mzee Makamba ametaka CCM kupitisha Azimio la kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea Urais pekee kea ticket ya CCM 2025
Makamba amesema hakuna haja ya kuogopa kwani Watu wazuri na wanaopendwa hawafi ndio sababu mzee Kinana yupo na mzee Jakaya yupo
Makamba amesema Wapinzani akina Chadema ajenda zao ni 2 tu Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi lakini Wananchi hawali Katiba. Kule kwetu kwa mfano Wananchi wanataka Maji, Umeme, Huduma Bora za Afya na Elimu ambazo zimo kwenye ilani ya CCM hivyo Wapinzani wasahau kabisa habari ya Ushindi 2025
Hata hivyo Rais Samia amesema Mzee Makamba ameteleza tu ulimi kwa Kauli hiyo ya kwamba Watu wazuri hawafi kutokana na kuwa emotional
Source TBC
Taizo itikadi za upinzani zinawapoteza.. kabisa mtu unamjua adui yako ni huyu na hakutakii mema unaacha kumuua unaenda kuua mwenyekiti wa chadema wa mtaa? Hawa upinzani hawajielewi..wangejielewa na kuelewa wananchi wana akili gani muda huu, wangekua na nguvu sana
Kifo sio safari ya kwenda Qatar kuangali kombe la Dunia na kwamba Kuna siku utarudi home,Kila nafsi hai itaonja mauyi wakiwemo wema na wabaya.kauli kama Ile mbele ya watu waliofiwa na wapendwa wao inarudisha watu nyuma kimawazo.Mzee Makamba amesema Wanaccm Wana Iman kubwa sana na Rais Samia na 2025 atashinda kwa kishindo
Mzee Makamba ametaka CCM kupitisha Azimio la kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea Urais pekee kea ticket ya CCM 2025
Makamba amesema hakuna haja ya kuogopa kwani Watu wazuri na wanaopendwa hawafi ndio sababu mzee Kinana yupo na mzee Jakaya yupo
Makamba amesema Wapinzani akina Chadema ajenda zao ni 2 tu Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi lakini Wananchi hawali Katiba. Kule kwetu kwa mfano Wananchi wanataka Maji, Umeme, Huduma Bora za Afya na Elimu ambazo zimo kwenye ilani ya CCM hivyo Wapinzani wasahau kabisa habari ya Ushindi 2025
Hata hivyo Rais Samia amesema Mzee Makamba ameteleza tu ulimi kwa Kauli hiyo ya kwamba Watu wazuri hawafi kutokana na kuwa emotional
Source TBC
Sio kila mzee ana busara
Wanatumia nguvu nyingi kushindana na Marehem mpaka sasa Marehem 2 wenyewe 0
Huyu ameshayaishi maisha yake, uzee huenda unamfanya asahau kuhusu woga wa kuiacha dunia.Kejeli hizo akumbuke dunia uwanja wa fujo tu tunapita chuki yake isimfanye asahau kua hata yeye siku moja ataiacha dunia
wamajua, mara umeme wa moyo, kwemye royo tuwa tukasema korona baadae tukasema mungu aliamua ugomvi. baadae tuaksema wazee tulisema hapana na sasa wazuri hawafi maana yake ilitakiwa afe iwe jua iwe mvuaSiri zote watazitapika tu kidogokidogo.
Hivi Magufuli alifariki au aliuwawa?
Labda wao ndio mungu(sio Mungu) huko ccm wanaamua nani aishi milele, nan afe.Wafanye mambo yao Mungu hadhihakiwi.
Madaraka ya kulevyaWamelewa madaraka
Binamu bhana...Anataka kumaanisha nini? haya maisha haya ukifa ndio utajua nani mwema kwako na nani adui kwako tuishini vizuri tu tukiwa hai.
Mpumbavu mmoja wewe roho mbaya kwako nikufukuzwa kazi kisa chet feki..
Leo vijana wangapi wamefung saloon zao na office znazotegemea umeme.
Kama sio chet feki wew ni mvaa kobaz
Damu ya mtu haiwezi kuwaacha hivihivi.wamajua, mara umeme wa moyo, kwemye royo tuwa tukasema korona baadae tukasema mungu aliamua ugomvi. baadae tuaksema wazee tulisema hapana na sasa wazuri hawafi maana yake ilitakiwa afe iwe jua iwe mvua