Mzee Makamba: Watu wazuri huwa hawafi ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!

Ccm wanajua kuwapa wapinzani wa mitandaoni hoja za kujisahau kweli. Hii ya kuishi milele itachukua siku tatu mpaka mwezi au zaidi ikishupaliwa, ukijumlisha na ile ya chama cha mambuzi basi kuna miezi sita ya kusahahu ajenda zenye hatari kwa ccm huko mitandaoni.
 
Hivi huyu mama anajisikiaje na hizi kauli za kumkejeli hayati
 
Wale Ni malaika hawana kosa. Tofauti na mtu anayeharibu uchaguzi ili atawale pekee yako, huyo lazima aondolewe kwenye uso wa Dunia.
Mbona huyo mungu wako asikuondolee ccm?
 
Ccm wanajua kuwapa wapinzani wa mitandaoni hoja za kujisahau kweli. Hii ya kuishi milele itachukua siku tatu mpaka mwezi au zaidi ikishupaliwa, ukijumlisha na ile ya chama cha mambuzi basi kuna miezi sita ya kusahahu ajenda zenye hatari kwa ccm huko mitandaoni.
Sawa mpinzani wa uraiani
 
Mzee Makamba amesema Wanaccm Wana Iman kubwa sana na Rais Samia na 2025 atashinda kwa kishindo

Mzee Makamba ametaka CCM kupitisha Azimio la kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea Urais pekee kea ticket ya CCM 2025

Makamba amesema hakuna haja ya kuogopa kwani Watu wazuri na wanaopendwa hawafi ndio sababu mzee Kinana yupo na mzee Jakaya yupo

Makamba amesema Wapinzani akina Chadema ajenda zao ni 2 tu Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi lakini Wananchi hawali Katiba. Kule kwetu kwa mfano Wananchi wanataka Maji, Umeme, Huduma Bora za Afya na Elimu ambazo zimo kwenye ilani ya CCM hivyo Wapinzani wasahau kabisa habari ya Ushindi 2025

Hata hivyo Rais Samia amesema Mzee Makamba ameteleza tu ulimi kwa Kauli hiyo ya kwamba Watu wazuri hawafi kutokana na kuwa emotional

Source TBC
Isije ikawa niksi sasa watu wakakata moto
 
Mtu mwenye akili timamu hawezi kuongea maneno kama hayo.
 
Makamba ana usongo na Magufuli.
Alivyoaibishwa na Magufuli sasa ni payback time!
Sasa anafanya payback kwa marehemu?!

Hiyo ni zaidi ya kukosa busara kwa mtu wa umri na kariba yake...

Ninachokiona ni kauli za kujipendekeza in favor of mwanae...

Na ukichanganya na tabia yake ya uropokaji, busara inabaki kwenye mfuko wa koti!

And as long as mwanae bila shaka bado anautamani Urais...

And as long as bado wote wapo hai...

Basi turajie tena na tena kuzisikia kauli za ovyo namna hii...
 
Takataka kama hiyo siku nikisikia imekufa ntafurahi na kumshukuru sana Mungu.
 
Mzee Makamba amesema Wanaccm Wana Iman kubwa sana na Rais Samia na 2025 atashinda kwa kishindo

Mzee Makamba ametaka CCM kupitisha Azimio la kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea Urais pekee kea ticket ya CCM 2025

Makamba amesema hakuna haja ya kuogopa kwani Watu wazuri na wanaopendwa hawafi ndio sababu mzee Kinana yupo na mzee Jakaya yupo

Makamba amesema Wapinzani akina Chadema ajenda zao ni 2 tu Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi lakini Wananchi hawali Katiba. Kule kwetu kwa mfano Wananchi wanataka Maji, Umeme, Huduma Bora za Afya na Elimu ambazo zimo kwenye ilani ya CCM hivyo Wapinzani wasahau kabisa habari ya Ushindi 2025

Hata hivyo Rais Samia amesema Mzee Makamba ameteleza tu ulimi kwa Kauli hiyo ya kwamba Watu wazuri hawafi kutokana na kuwa emotional

Source TBC
Uchawa na debe kwa mwanae.
 
Kauli na majibu ya Rais
Kumbe alitoa kashfa kwanza kwa mama halafu kujirudi kiaina

Ila wazee wasiwe wanapewa [emoji441] kabisa maana dementia inawasumbua na wengine huwa hawana break ni kawaida ukizeeka kwa baadhi ni kufoka na kuongea utumbo

Mungu atupe Hekma na uvumulivu uzeeni maana mimi nayaona haya kwa umri wangu huu ila sijamfikia huyo mzee

Haya ni majibu ya Rais
Screenshot_20221208_175056_Instagram.jpg
 
Mzee Makamba amesema Wanaccm Wana Iman kubwa sana na Rais Samia na 2025 atashinda kwa kishindo

Mzee Makamba ametaka CCM kupitisha Azimio la kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea Urais pekee kea ticket ya CCM 2025

Makamba amesema hakuna haja ya kuogopa kwani Watu wazuri na wanaopendwa hawafi ndio sababu mzee Kinana yupo na mzee Jakaya yupo

Makamba amesema Wapinzani akina Chadema ajenda zao ni 2 tu Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi lakini Wananchi hawali Katiba. Kule kwetu kwa mfano Wananchi wanataka Maji, Umeme, Huduma Bora za Afya na Elimu ambazo zimo kwenye ilani ya CCM hivyo Wapinzani wasahau kabisa habari ya Ushindi 2025

Hata hivyo Rais Samia amesema Mzee Makamba ameteleza tu ulimi kwa Kauli hiyo ya kwamba Watu wazuri hawafi kutokana na kuwa emotional

Source TBC
Wengine wanapozeeka wanakuwa busara zaidi, lakini kwa bahati mbaya wengine wanakuwa waropokaji. Huyu mzee alichofanya hapa ni uropokaji.
 
Back
Top Bottom