mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,005
- 20,805
Sawa mkuu,,Kesho ni IJUMAA bwashee usikompliketi mambo!
Ila sisi tunasema INSHALLAH
Kwa Jambo lolote linalohusu baadae.
Hatusemi lazima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu,,Kesho ni IJUMAA bwashee usikompliketi mambo!
Hukumsikia Samia alivyosema kwamba Mzee makamba ni burudani tosha? Walitaka kuweka burudani ya muziki Dr. Samia akasema tumpe Mzee makamba aongee ni burudani tosha hivyo hata rais kaburudika na yale maneno ya Mzee wa shukrani.Hivi ccm kwanini huwa wanalazimika kumpa nafasi ya kuongea huyu mzee?
Kipindi kilichopita aliongea mpaka leo neno lake lile limeleta athari kubwa sana kwa wote ccm na serikalini.
Leo tena ameongea neno gumu !!
Ni kuwa kiongozi ukiwa mzuri watu watakuombea dua, watu wa dini, na imani zote watakuombea usipatwe na maradhi na Mungu husikiliza maombi yao
Lakini ukiwa kiongozi mbaya ambaye unanyanyasa watu, unaua, unawabomolea nyumba, unawafilisi damu za watu zinakulilia, machozi yao hayawezi kwenda bure na utakufa mapema
Haibadili kitu hata ukitumia kiarabu.Sawa mkuu,,
Ila sisi tunasema INSHALLAH
Kwa Jambo lolote linalohusu baadae.
Hatusemi lazima.
Zikiwa hazimo upstairs jaribu kujifichaficha tusijue wengine sawa kiumbe wa hovyo....Udikteta siyo mzuri. Huyo jiwe wenu alikuwa mtu wa hovyo sana kuwahi kutokea Tanzania tangu dunia kuumbwa.
Mjifumze. Mkiyapata madaraka msivimbe vichwa.
Siku nikibahatika kukwmata mic mtajuta kunifahamu kwa nmna nitakavyomtukwnw Magufuli
Hayati Edward Moringe sokoine alikuwa na ubaya na watu?Kabisa sema makamba alikata kona sana akateleza lakini alikuwa anamaanisha hivi hivi ,mtu mzuri means hana mabaya na watu.
Nasema tena 2025 ni mbali sn kwetu sisi binadamu.Haibadili kitu hata ukitumia kiarabu.
Wewe kila anayefanya kazi yake kwa uadilifu na ufanisi basi kwako ni katili! Uchawa ni ugonjwa wa hatari sana unaopofusha macho ya kimwili na kiroho, unahitaji kupata matibabu.Sokoine alikuwa Katili wewe,eti wema
Nilimkubali Soja Kinana tu, ye aliamua kwenda kupumzika zake Canada kimyaa hahaIlikuwa hakuna namna zaidi ya kumuomba msamaha wa kinafiki dikteta yule
🤣🤣Sa Muhammad mla 'vitrotro' vidogo aliombewa na nani?
Nilimkubali Soja Kinana tu, ye aliamua kwenda kupumzika zake Canada kimyaa hahaIlikuwa hakuna namna zaidi ya kumuomba msamaha wa kinafiki dikteta yule
Dunia haina nafasi ya watu makatili wasio tumia nguvu ya akili bali msuliWewe kila anayefanya kazi yake kwa uadilifu na ufanisi basi kwako ni katili! Uchawa ni ugonjwa wa hatari sana unaopofusha macho ya kimwili na kiroho, unahitaji kupata matibabu.
Nimefuatilia nimegundua HUENDA tumemtafsiri ndivyo sivyo...Makamba mzee siyo thiker on his feet.
Leo siyo siri kajiaibisha kiasi fulani.
Kuongea bila kufikiri kuna madhara yake.
NI kweliNadhani nadhani kwa kauli kama hizi inawezekana Rais Samia akawageuka maana yeye pia anajitambua siyo mwenzao. Akichelewa atakuwa kama wanavyofurahia kifo cha Dkt Magufuli. This is a wake up call for Rais Samia.
unauliza majibuKwahiyo Anataka Kusema Mzilankende Hakuwa Kwenye Wazuri
Noma sana!Mzee anatoa mbwa Tanga anawapeleka Dodoma. Kaazi kweli kweli