Mzee Makamba: Watu wazuri huwa hawafi ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!

Mzee Makamba: Watu wazuri huwa hawafi ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!

Hivi ccm kwanini huwa wanalazimika kumpa nafasi ya kuongea huyu mzee?
Kipindi kilichopita aliongea mpaka leo neno lake lile limeleta athari kubwa sana kwa wote ccm na serikalini.
Leo tena ameongea neno gumu !!
Hukumsikia Samia alivyosema kwamba Mzee makamba ni burudani tosha? Walitaka kuweka burudani ya muziki Dr. Samia akasema tumpe Mzee makamba aongee ni burudani tosha hivyo hata rais kaburudika na yale maneno ya Mzee wa shukrani.
 
Ni kuwa kiongozi ukiwa mzuri watu watakuombea dua, watu wa dini, na imani zote watakuombea usipatwe na maradhi na Mungu husikiliza maombi yao

Lakini ukiwa kiongozi mbaya ambaye unanyanyasa watu, unaua, unawabomolea nyumba, unawafilisi damu za watu zinakulilia, machozi yao hayawezi kwenda bure na utakufa mapema

Kabisa sema makamba alikata kona sana akateleza lakini alikuwa anamaanisha hivi hivi ,mtu mzuri means hana mabaya na watu.
 
Udikteta siyo mzuri. Huyo jiwe wenu alikuwa mtu wa hovyo sana kuwahi kutokea Tanzania tangu dunia kuumbwa.

Mjifumze. Mkiyapata madaraka msivimbe vichwa.

Siku nikibahatika kukwmata mic mtajuta kunifahamu kwa nmna nitakavyomtukwnw Magufuli
Zikiwa hazimo upstairs jaribu kujifichaficha tusijue wengine sawa kiumbe wa hovyo....
 
Kabisa sema makamba alikata kona sana akateleza lakini alikuwa anamaanisha hivi hivi ,mtu mzuri means hana mabaya na watu.
Hayati Edward Moringe sokoine alikuwa na ubaya na watu?

KIfo hakina huruma na wala hakichagui,
Anakufa mtoto yupo tumboni na wala haijuwi Dunia.

Waliokufa sio wajinga ni ahadi ya Mungu.
Mnapokosea kubalini kuomba radhi Kwa Muumba.
 
Nimemsikiliza jana wakati anajibu swali la mwandishi kwa kufokafoka nikagundua huyu mzee hawezi kabisa kujenga hoja zaidi ya blah blah tu nilizoziskia pale,wakati ni katibu mkuu wa chama nilikuwa nje ya nchi kwa miaka mingi sana hivi ndio yupo hivhivi miaka yote hajui kujenga hoja au tu ni uzee!??
 
Makamba mzee siyo thiker on his feet.
Leo siyo siri kajiaibisha kiasi fulani.
Kuongea bila kufikiri kuna madhara yake.
Nimefuatilia nimegundua HUENDA tumemtafsiri ndivyo sivyo...

Tumemtafsiri kutokana na taarifa zilizoletwa JF bila kupata source material.

Kumbe, kutokana na tabia yake ya kupenda kuropoka, Mzee Makamba alisema "Hata ukiondoka kabla ya '25, Mungu atatupa mwingine"

Maneno hayo alikuwa anamwambia SSH. Sasa akagundua ameropoka kama sio kupotoka, na katika kujisafisha, ndipo akaomba msamaha kwa hiyo kauli na hatimae kumalizia "kwanza watu wazuri hawafi"

So, kumbe chanzo ilikuwa ni kujisafisha



Unaona hiyo thumbnail JK hadi akajishika kichwa baada ya Makamba kusema "hata ukiondoka kabla ya '25 Mungu atatupa mtu mwingine"
 
Back
Top Bottom