Mzee Mohamed: Tuna kazi kubwa sana kumuandaa kijana atakayefanana na Magufuli

Yuko wapi sasa,kumtukana mzungu adharani ji sawa na kulala na kahaba bila kinga utakufa
Sio bure mzungu anaweza kulazimisha kukupakata na usifanye lolote
Kumbe?alikupakata
 
CCM inaogopwa ndo maana unaona wanachama wakiwa wengi huko.

Siku ikikosea zindiko lake la kafara na ikqjikuta ipo nje ya utawala ndo utagundua wwnachama wake wengi ni askari wetu
 
"Great minds discuss ideas and issues but simple minds discuss people and events", Tuache hii tabia ya kujadili watu na matukio tujikite kujadili mada husika
Huwa nakaa kimya kuhusu sifa au kashfa dhidi ya Magu.
Jambo hili limejawa na unafiki, ushabiki au imani potofu.
Kuna ujinga mwingi na uelewa haba.. ni bora kukaa kimya tu.
Pendekezo langu ni kuwa tujiwekee utaratibu mzuri wa kiutawala ambao utafutwa na yeyote na si kusubiri mtu tumpachike umalaika au ushetani.
Haya mambo ya sifa au lawama yataisha.
Katiba bora ni muhimu. Hakuna mtu bora bila katiba bora.
 
Magufuli hakuandaliwa kuwa rais wa Tanzania na yeye mwenyewe hakujiandaa kuja kuwa rais wa Tanzania (yeye mwenyewe alikiri kwa kusema, alijikuta tu ameuvaa urais, na anajuta!).

Tanzania ya sasa haihitaji tena kuwa na watu kama Magufuli (maana alijulikana kama mtu mbinafsi, mbaguzi, mbabe, mkatili na muuaji). Tanzania ya sasa inahitaji rais kutoka nje ya CCM, muungwana, mpenda Demokrasia, mvumilivu, muadilifu, mwerevu na msikivu.
 

..kwenye kuwadindia wazungu Magufuli hawezi kumfikia Nyerere hata siku moja.

..Nyerere aliwahi kukataa msaada wa Uingereza na alivunja mahusiano ya kibalozi nao mwaka 1965.

..Nyerere pia alimtimua Balozi wa Ujerumani Magharibi kwasababu walitulazimisha tusiwe na mahusiano na Ujerumani Mashariki.

..Vilevile Nyerere alishatimua maofisa wa ubalozi wa Marekani hapa nchini, na wao wakatulipizia kisasi kwa kutimua maofisa wetu.

..Tanzania tuli-support harakati za ukombozi kusini mwa Afrika kinyume na matakwa ya mataifa ya magharibi.


..Na Mwalimu Nyerere alikuwa akitofautiana na mabeberu kwasababu ya kutetea haki, na utu wa Muafrika.

..Magufuli alikuwa akikosana na mabeberu kwasababu ya kukandamiza demokrasia na haki za Watanzania. Magufuli alikuwa na damu ya Watanzania mikononi mwake.
 
Mzee Mohamed ni kati ya Wazee Wajinga waliodanganywa na mwendazake kwa propaganda za uzalendo.

Kama Mwendazake alikuwa mzalendo asingemfukuza kazi CAG Assad.

Assad alifukuzwa baada ya kuyaibua madudu ya wizi wa 1.5T na 900B zilizopigwa na Genge la mwendazake.

Assad alifukuzwa baada ya kukataa kupika ripoti ya madudu aliyoyafanya mwendazake ,kuweka wazi hasara ya ATCL etc
 
Alikubali LOLOTE LIMFIKE... maneno nyeti
Kitu pekee alichojaliwa ni ujasiri wa ajabu kupindukia. Kupoteza binadamu wenzako au hata kuwabambikia kesi watu wasio na hatia, siyo kila mtu anaweza.

Unawapoteza binadamu wenzako, familia zao zinalia na kuomboleza, halafu wewe unaona kawaida kabisa, na moyoni una amani, watu wa namna hiyo ni wachache sana Duniani, na hata wakiwepo, jamii zinazojali utu na uhai wa binadamu, haziwezi kukubali wapenye kwenye uongozi.

Na nina hakika wengi wenye akili walipata funzo. Mzee yupo sahihi kwenye jambo moja, siyo rahisi mtu wa namna ile kupenya kwenye uongozi.
 
Huyo mzee mueleze .." Watu wazuri hawafi" wabaya wanakata moto..
 
Huyu mzee kama hajalogwa basi labda yeye ndio mchawi
 
Mbona wapo wengi sema CCM ndiyo inawazuia kujitokeza. Hatuna uhaba wa watu kama Magufuli. Kwani, nani alimuandaa zaidi ya kujipenyeza na kuwashikisha adabu?
 
Tunapima maneno kwa kuangalia yametoka kwa nani sio mtu kashiba mihogo huko anaongea kwa niaba ya watanzania wote
Si afadhali mwenzio kashiba mihogo. Wewe umekunywa kimpumu huko unakuja kutapikia humu
 
The Late President John Magufuli: A controversial and polarising figure. Some like him, some don't.....

C'est La Vie....
 
Huyo mzee ni nani katika nchi hii,mnaokota wauza kahawa mnawarekodi wanaongea kwa niaba ya watanzania
Kwa akili yako na uelewa ulivyo mdogo unaamini huyo mzee hana haki ya kutoa maoni yake kwa vile unaamini ninmuuza kahawa aliye okotwa? Kwani akiwa muuza kahawa anakuwa mCameroon? Muwe mnaacha kudharau wananchi walio wawwka kwenye madaraka , kura ya hiyo mzee ninmiongoni mwa kura zilizo kupa wewe hiyo kazi
 
Mawazo Yako waliomchaguwa MAGU na wabunge ni wengi mno angalia mazishi Yako na wanavyo mkumbuka niushaidi tosha aliwagalagaza vibaya
Msiba? Hivi unajua hata Mimi licha ya kwamba sikuwahi mkubali ila nililia sana ule usiku sio Mimi tu familia yetu nzima ni upinzani ila hakuna ambaye hakunipigia simu kuwa hajaumia.

Kuna wakati ubinadamu ni mkubwa kuliko siasa so usidhani Kila anayekuja kwenye msiba wako alikupenda ukiwa hai kama ingekua hivyo hao CCM wangekua wanamtusi hivyo JPM majukwaani??
 
Kuna wapuuz eti wanamuandaa January [emoji4]
 
Okei...
Angalau wewe umetoa povu... ila inaonyesha povu hili unalitolea kwenye sehemu yako ya wazi ya utumbo mkubwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…