Mzigo wa wazazi kulea mabinti na watoto wa binti zao

Kwani walikubaliana kuzaa?
 
Wapo wanaozaa wakiwa miji mengine, ila watoto hupeleka kulelewa na wazazi wao.
Kwakweli huu mzigo watoto wa kike ni nuksi sana, anazaa na mtu, hana uwezo wa kipato hata cha mlo mmoja, hatari sana.
 
Nimeona ni Bora embu fikiria unao mabinti WATATU hujakaa sawa wanapata ujauzito , na mwingine na mwingine Tena kila mmoja zaidi ya mtoto mmoja embu pata hiyo picha afu ni maskani kwako weww mzee
Bora nizae madume TU dadadeq sema huyu mwanamke anapenda sana watoto wa kike,
 
Anapigwa mimba akiwa nyumbani Anazalia nyumbani na muhuni anatokomea mitini.
Matunzo zero mjukuu anaishi doglyf Lawama unatupiwa babu kum.anyoooko.
Acha kabisa kuna mjinga Katia mimba beki 3 mtoto tangu anazaliwa hamjui matunzo yote analipa Babu mtoto kafikisha umri wa kuanza shule Babu akaomba aletwe aishi nae akaletwa dogo akazinguana na Bibi yake Bibi akaomba dogo arudishwe kwa mama yake dogo akarudishwa unaambiwa baba hajui hata kununulia mwanae uniform na anafanya kazi nzuri TU, kila kitu analipa Babu

Maisha na malezi ya baadhi ya wazazi hakika ndio uharibifu wa watoto
 
Hapa kila mtu anatoa maoni, kulingana na mazingira yake, mimi binafsi watoto wangu wote wananitegemea mimi, kama baba, hata wakienda kuishi mbali nami, ilimradi hajafika umri wa kujitegemea nawajibika kwa mahtaji yao yote.
Alafu niache kumchukia bint yangu, anazaa na mtu ambae hata uweo wa kununuli mtoto wa chupi ya mikojo.
 
Wazee wanpitia na watapitia mengi hasa kwa kizazi hiki cha sasa.
 
Vipi na wale mnaozalisha mabinti za watu na kuwabeba watoto wenu kwenda kuwabwagia wazazi wenu wawalelee?
 
Nimeona ni Bora embu fikiria unao mabinti WATATU hujakaa sawa wanapata ujauzito , na mwingine na mwingine Tena kila mmoja zaidi ya mtoto mmoja embu pata hiyo picha afu ni maskani kwako weww mzee
Mkuu wanafanya makusudi wanajua hakuna Baba wala mama atakaye mfanya lolote utakuta Mabinti wapo watatu mdogo wao kazalishwa mtoto kampelaka kwa Bibi na Dada zake wanaona wao umri unakwenda hawajaolewa na hawana mtoto, sasa nawao wanabeba mimba, Wazazi wazamani walikuwa wakali mpaka binti anaogopa kubeba mimba bila ndoa walikuwa wanajua hawana pakwenda lazima watimuliwe nyumbani, au waende uko walipo pata mimba, sikuizi wazazi wakike ndiyo wamekuwa watetezi wa watoto wa nje ya ndoa wanawapokea na kuwalea.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…