Mzigo wa wazazi kulea mabinti na watoto wa binti zao

Ndio imekua hivyo tena wanawapigia chapuo na pesa za wajukuu anatoa kutoka kwenye malipo yake ya kiinua mgongo ili wajukuu wasife na njaa mama kakaa tu watoto wanalishwa na Bibi na Babu wakati baba zao wapo
 
Acha kuongea hisia zako, ongelea uhalisia.
Mifano hai ninayo na juzi wamenusurika kukatana mapanga kisa mtoto, mama hataki mtoto aende kwa baba na baba anataka mwanae wametengana baba kaoa mwanamke mwingine mama hataki kumpa mtoto baba, wakataka kuchinjana, wanawake hamuaachi watoto kirahisi
 
Kutokuacha watoto kirahisi haimaanishi hatuachi kabisa. Wapo wengi tu wameacha na mmewapeleka kwa bibi zao wanawalelea.
 
Mtoto wa nyoka

Mtoto wa nyoka ni nyoka. Singo mama lazima binti yake atazalia nyumbani naye kuwa singo mama.

Mara nyingi binti uiga tabia ya mama yake kwa asilimia kubwa. Kama binti ameshuhudia mama yake anabadilisha mabwana, lazima na yeye atafanya hivyo hivyo kwani kama mama kafanya kwani yeye nani asifanye.

Binti ambaye anaishi na baba ni nadra sana kuzalia nyumbani maana hawezi kuwa confirtable. Katika mabinti 100 wanaozalia nyumbani, 99 lazima ni katika familia ya single mama yaani hawana malezi ya baba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…