Na hii ndio maana halisi ya ule msemo wa kusema Mungu ni roho

Logical non sequitur. Hata hizo ndoto za kuona mambo ya mbele hujathibitisha.

Hujathibitisha Mungu yupo, umeleta habari za roho, hujathibitisha roho ipo, unaleta mambo ya ndoto, nayo hujayathibitisha.
 
miaka 2000 iliyopita aliuvaa mwili wa damu na nyama akaishi kama binadamu,hilo limeshathibitishwa kihistoria na kibiblia..
Usiombe mapepo yakuingie...tutakuja kuyatoa kwa Jina lake ( i.e YESU) na utaamini tu ukuu wake.
Hata hilo hujathibitisha unahibiri imani yako tu.
 
Yesu alivyofufuka alikuwa na mwili wa namna gani?tafakari hilo kisha utajijibu maswali yote uliyoyauliza hapo juu.
 
Roho(spirit) is a religious terminology not scientific one.Katika religion(theology) hakuna kitu like prove to me(only in science you will be asked such thing)

Religion has nothing to prove(the truth is already revealed).Religious people are asked to believe(faith) not to prove(scientists).Ndio maana nikasema kila discipline ina miongozo yake ambavyo wewe na mimi hatujui inatokea wapi(hakuna mtu analazimishwa kufuata hizo principles,ni wewe tu kuona wapi patakuongoza kufikia ukweli then utachagua)

Ndio maana hakuna mtu wa theology atakubishia juu ya Newton's laws(never,kwa sababu principles zinazo guide science ni tofauti na theology)
 

Mimi nauliza fact.

Utajuaje hicho kinachosemwa kuwa kiko revealed katika dini ni kweli au ni kabobo tu?

Utajuaje dini sahihi kati ya maelfu ya dini zote kama hujafanya uchunguzi wa ku prove ipi ni sahihi?
 
Logical non sequitur. Hata hizo ndoto za kuona mambo ya mbele hujathibitisha.

Hujathibitisha Mungu yupo, umeleta habari za roho, hujathibitisha roho ipo, unaleta mambo ya ndoto, nayo hujayathibitisha.
Ndio maana nimekwambia wewe na mimi hatuwezi umaliza huu mjadala kwasababu kama unataka hadi ndoto nayo ithibitishwe ni wazi sitaweza kukuprovia chochote kuhusu uwepo wa roho kwa muda huu ila kesho nitakutag baada ya kumaliza meditation yangu ya alfajiri nitakua na jambo la kukwambia 😆😆😆😆
 
Unaamini vita vya majimaji 1905-07 vilitokea?
Sitaki kuamini, nataka kujua.

Na kama ilitokea au haijatokea, kama nakubali au sikubali, hilo halithibitishi kuwa roho ipo au haipo.

Hivyo swali lako ni irrelevant.

Thibitisha roho ipo.
 
Hujathibitisha roho ipo.

Huwezi kuthibitisha roho ipo.
 
Kama kashindwa tu kuprove 2 na 2 ni 4 na sio 22 it means anatakiwa ajue kwamba si kila jambo linaprovika kilimwengu.

The world is full of puzzles na hii nayo ni factor nyingine yakuonesha kwamba sisi sio original being ila ipo nguvu pahala ambayo huanzisha baadhi ya mambo na sisi hatuna budi kuyapokea kama yalivyo.
 
Mimi nauliza fact.

Utajuaje hicho kinachosemwa kuwa kiko revealed katika dini ni kweli au ni kabobo tu?

Utajuaje dini sahihi kati ya maelfu ya dini zote kama hujafanya uchunguzi wa ku prove ipi ni sahihi?
Man ni kama tunapishana, nimeweka wazi kwamba kwenye religion hakuna sehemu ya kuprove kitu(labda unataka science iwe kama religion)

Ndio maana nikasema the choice is yours(the fact is,you can't change what religious people believe or what scientists do)

Unachotakiwa wewe kufanya ni kufanya kile unaona kinakufisha kwenye ukweli

Kinachosemwa na watu wa religion(theology) ni fact tayari(ukweli kwa miongozo yao) sasa unataka wa prove nini hapa?

Ni sawa na mtu kusema kwamba wewe ni mwanaume kwa mwonekano then badae ukasema prove to me kwamba mimi ni mwanaume(matumizi mabaya ya akili)
 
Sitaki kuamini, nataka kujua.

Na kama ilitokea au haijatokea, kama nakubali au sikubali, hilo halithibitishi kuwa roho ipo au haipo.

Hivyo swali lako ni irrelevant.

Thibitisha roho ipo.
Nimeshakupa fact, umeikwepa hujataka kutumia akili Bali unataka ubishi..
 
Siongelei roho katika religion. Religion una haki ya kuamini unachotaka.

Hiyo ni haki yako ya kikatiba. Jiyo ni haki yako ya kibinadamu. Am8ni unachotaka.

Siwezi kukuingikia huko.

Ila, mmeleta habari za roho hapa kwenye pubkic square.

Uwepo wa roho ni fact au ni imani tu si fact?

Kama unasema ni imani tu, si fact. Sawa. Imani hata uongo unaruhusiwa kuamini na kuhubiri.

Lakini, ukisema uwepo wa roho ni kweli, ni fact, hapo inabidi uthibitishe. Kwa sababu fact si suala la imani tu.

Sasa uwepo wa roho ni fact au ni imani tu?
 
Sasa fact ni nini? Labda tafsiri yako inaweza kuwa tofauti na mimi.

Fact:dictionary/fundamental meaning ni truth(something beyond debate,doubt or can't be questioned)

Fact again,something agreed by experts na unaweza kuendelea ku-difine fact vile unavyoweza.

Fact is something agreed by group of people that serve as their way to conclusion

Scientist do have their ways of saying that this is a fact.So,do religious people,philosophers,and list goes on.

Unachofanya wewe hapa ni kwamba kila mtu achukue mtazamo wako kufikia ukweli(ndio maana nikasema futa hizo discipline nyingine kama unaweza)
 
Fact ni ukweli ambao umepita subjectivity.

Dini inatumia faith haina fact, kwa sababu ina subjectivity, kila dini ina imani tofauti.

Roho ni suala la kidini, tena baadhi ya dini, Buddha aliishi na kusema hakuna roho, kuna dini kama Buddhism hazikubali uwepo wa roho.

Fact inaweza kuwa proved.

Wewe unasema kuna roho lakini huja prove roho ipo.

Hujaweza kuonesha roho ipo kama fact.

Kwa sababu, hjathibitisha roho ipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…