Jesus37
Senior Member
- Feb 9, 2023
- 108
- 112
umejuaje? hakuna hio kitu bhanMbinguni ni jina tu kama kusema kariakoo ila neno mbinguni linatumika kwasababu ni sehemu ambayo ipo nje ya uwezo wa mwanadamu kufika.
Ila kiuhakisia dunia inaulimwengu zaidi ya huu tunaoujua sisi na huko nako kuna maisha kama ambavyo ilivyo kwenye ulimwengu huu.