Nabii aliyetabiri kifo cha JPM ametabiri haya Uchaguzi Mkuu 2025

Kazi kwelikweli mtamfanya mtu apige mbizi kurudi Zanzibara
 
Umebeba fikra tu, Rais ni taasisi, ndo maana kunatakiwa kuwepo na sheria ya Mgombea binafsi , hii ya kusema kila mtu awe amepia serikalini ni mfumo wa kubebana tu .
Ndio maana nilisema ukiacha na udhehebu walionao Deep state, Askofu kushinda ngumu kwa katiba hii ya 1977
 
Umebeba fikra tu, Rais ni taasisi, ndo maana kunatakiwa kuwepo na sheria ya Mgombea binafsi , hii ya kusema kila mtu awe amepia serikalini ni mfumo wa kubebana tu .
Kuna machawa wanafikiri wanajua sana kumbe ni uchawa na ukunguni mtupu. Hakuna mahali Katiba inasema ili uwe Rais sifa lazima umepita serikalini. Huo ni mfumo wa CHAMA CHA CHAWA(CCM). Kila chama kina taratibu zake bora tu hazivunji Katiba. Sijui km machawa mnanielewa?
 
jiwe si alilalamika amesacrifise maisha yake mkuu --- imekaaje hii mkuu
You know what? Only God, The Lord Jesus Christ sacrifices His Life to all mankind. Not a man called Magufufuli a.k.a Jiwe!
 
Kakakuona ni uganga kwl Nani anamrithisha?Una ushahidi WA Hilo ulilosema
Wewe umekulia au unaishi Tanzania gani? Hv hujui kuna viumbe wanavotumika kwene uganga,ulozi na uchawi? Nenda kanda ya Xiwa ukaone jinsi Fisi, Bundi na Nyoka wanavotumika!
 
Kwa Wakristo ambao ni Bible readers, Biblia Takatifu Mungu anasema: MAWAZO YANGU SI MAWAZO YENU, na tena HEKIMA ZA MWANADAMU KWA MUNGU NI UPUMBAVU. Kwa hiyo usitake kumsahihisha Mungu anapo nena kupitia Watumishi wake. Prophecy never lies.
 
Usitake kumpangia Mungu cha kusema au kutoa unabii, lini, wapi na wakti gani!! Usifikiri kila kitu kinachotokea lazima Mungu atoe unabii! Sijui kama unaelewa!
Bullshit… Hivi wapumbavu wa aina hii sijui wanatuonaje sisi. Mtu hakuweza kuona hata fate ya uwenyekiti wa Mbowe, leo atatuambia nini tumsikilize?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…