Mfano wa simba na watoto ni mfu,shetani siyo adui mkubwa wa Mungu bali wa binadam..na kwa nini amuue!?Km hashindwi kwanini asimuue shetani ambaye kwa maelezo ya biblia ndiye adui yake mkubwa..!! Nikuulize swali dogo.
Hivi wewe unaweza kuwafungia watoto wako chumba kimoja na simba kisha ukawaacha wajiokoe wenyewe ili kuwapima km wana nguvu?? Ni kweli utakua unawapenda hao watoto wako?
This kind of fallacy is called ad hominem attack.Biblia ni kwa ajili ya wiseman na sio layman kama nyie
Watoto wamepewa nyenzo za kujiokoa na simba kutozitumia nyenzo hizo Mungu analaumika vipi sasa.Km hashindwi kwanini asimuue shetani ambaye kwa maelezo ya biblia ndiye adui yake mkubwa..!! Nikuulize swali dogo.
Hivi wewe unaweza kuwafungia watoto wako chumba kimoja na simba kisha ukawaacha wajiokoe wenyewe ili kuwapima km wana nguvu?? Ni kweli utakua unawapenda hao watoto wako?
Mkuu Hapa Naomba Nikurekebishame DNA inabadilika MkuuMazingira yanabadilisha vipi DNA?
Kwamba wewe ukiwa mwafrika mweusi na mke wako ni mwafrika mweusi vilevile, Mkienda ulaya mtazaa mzungu?
Mkizaana wote weusi kwa wakati wote haiwezekani atokee mzungu from nowhere kwenye ukoo na vinasaba vyenu.
Labda mmoja wenu akazae na mzungu ndio itatokea hivyo.
Unless otherwise, haiwezekani.
Mapadre hawakuficha bibliaWahubiri wanaohubiri ukweli ni akina nani mkuu? Je, ni mapadre wa kanisa katoliki ambao walitufichia biblia au ni akina Mwamposa?
Kama malaika hawana freewill, ina maana kwamba hawaamui kwa uhuru wao na maamuzi yao wenyewe, Wana amuliwa na huyo Mungu.Majini na binadam Wana freewill, tofauti na malaika
Mungu muweza wa vyote Aliumbaje binadamu wasio na utii?Kosa la Adam ni kukosa utii alimbiwa asile mti akakaidi
Unaamini upepo upo kwa athari zake na si kwamba unauona,unaamini umeme upo kwa athari zake kwa taa kuwaka,tv kuwaka lakini huuoniUpepo upo unasikika ukivuma na kujulikana upo.
Upepo upo unapimika.
In Meteorology, Tunapima upepo kila siku kwa kutumia vifaa kama Anemometer na Windvane.
Hii ni kwa sababu upepo upo na unathibitishika upo.
Unapompa mwanao uhuru wa kukutii na kutokukutii si ujinga,bali maamuzi yako tuKama malaika hawana freewill, ina maana kwamba hawaamui kwa uhuru wao na maamuzi yao wenyewe, Wana amuliwa na huyo Mungu.
Basi huyo Mungu alidhamiria kabisa shetani aweze kumuasi.
Na kwa maana hiyo, Huyo Mungu atakuwa ni mjinga sana.
Biblia inasema “Mungu aliupenda Ulimwengu hata akamtoa mwanae wa pekee ili aje kuukomboa Ulimwengu” Hapo inamaana yeye mwenyewe kashindwa kumdhibiti shetani anatumia sub “Yesu” ambaye naye kazaliwa na binadamu.!! Hivi Yesu naye kule mbinguni alitokea wapi?Mfano wa simba na watoto ni mfu,shetani siyo adui mkubwa wa Mungu bali wa binadam..na kwa nini amuue!?
Kutokuwepo maana yake ni nini? Maana hapa ndo tatizo lilipo.Unaweza kufikiri na kusadiki chochote.
Unaweza kufikiri na kusadiki hata kitu cha uongo ambacho hakipo.
Ukishindwa kuthibitisha uwepo wa hicho unacho kifikiri na kukisadiki, ni kwamba hakipo.
Na kufikiri kwako ni uongo tu.
Mimi nakwambia specifically Mungu hayupo.
Sawasawa.Mkuu Hapa Naomba Nikurekebishame DNA inabadilika Mkuu
Kuna sababu nyingi za kutokea nje zinazopelekea kutokea badiliko kwenye DNA hasa zikidumu kwa muda mrefu kwa mtu husika...Wewe uliyesoma, Eleza hapa jinsi mazingira yanavyo badilisha DNA?
Wewe si msomi uliyesoma?
Sasa eleza ni jinsi gani mazingira yanabadilisha DNA.
Niliandika awali katika kukujibu kwamba biblia siyo rejea yanguBiblia inasema “Mungu aliupenda Ulimwengu hata akamtoa mwanae wa pekee ili aje kuukomboa Ulimwengu” Hapo inamaana yeye mwenyewe kashindwa kumdhibiti shetani anatumia sub “Yesu” ambaye naye kazaliwa na binadamu.!! Hivi Yesu naye kule mbinguni alitokea wapi?
Mungu sio dikteta amekupa freewill uchague mema au mabayaMungu muweza wa vyote Aliumbaje binadamu wasio na utii?
Mungu muweza wa vyote, Alishindwaje kuumba binadamu watakao mtii siku zote na wakati wote?
Hivi huyo Mungu ana jielewa kweli?