Until_The_End
JF-Expert Member
- Nov 21, 2020
- 1,710
- 2,698
Ndiyo kwa sasa Binadamu ni sehemu ya Asili, lakini kabla ya hapo hakuwa sehemu ya Asili kwa sababu hakuwepo.Binadamu mwenyewe ni sehemu ya asili hiyohiyo
Mabaki ya binadamu wa kale zaidi yalikunduliwa Africa, kwa maana hiyo Binadamu huyu alikuwa Mweusi. Kulingana na kuhamahama kwa binadamu na sababu zingine nyingi zilisababisha DNA kubadilika na hivyo kupelekea uwepo wa watu wenye Rangi tofauti.Ukisema binadamu wa rangi moja ndio alianza, Je ni binadamu wa rangi ipi?
Siyo kweli Binadamu kama spicies ana Chanzo, na huwenda miaka ijayo akapotea kama spicies zingine zilivyopotea na kuisha kabisa.Binadamu tumekuwepo ulimwenguni milele.
Hebu eleza na thibitisha ni wakati gani binadamu hakuwepo?Ndiyo kwa sasa Binadamu ni sehemu ya Asili, lakini kabla ya hapo hakuwa sehemu ya Asili kwa sababu hakuwepo.
Vipi kama kuna mabaki mengine hayakufanikiwa kugundulika?Mabaki ya binadamu wa kale zaidi yalikunduliwa Africa, kwa maana hiyo Binadamu huyu alikuwa Mweusi. Kulingana na kuhamahama kwa binadamu na sababu zingine nyingi zilisababisha DNA kubadilika na hivyo kupelekea uwepo wa watu wenye Rangi tofauti.
Ukishaweka ulazima wa chanzo.Siyo kweli Binadamu kama spicies ana Chanzo,
na huwenda miaka ijayo akapotea kama spicies zingine zilivyopotea na kuisha kabisa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jamaa anasema binadamu wa kwanza alitokana na bacteria kabisa.🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huwezi Jua Kuna Evolution Nyingi Zinakuja Watu wana Theory zao Nyingi sana..
Ila nimecheka Sana Yaani kama Ni Evolution theory hii Kweli Ni ya kwnza Kuisikia Kwamba Binadamu ni Bacterium 🤣🤣🤣
Labda kama Alikuwa anamaanisha Binadamu alitokana na Single cells Organism Kama walivyo bacteria (Yaani Kufanananisha)
Ila sio Kwamba Bacteria ni baba wa Binadamu hapana..
Mayb anamaanisba hivyo ..
Ok, twende taratibu, kwanza tumekubaliana kwamba uwepo wa jambo si lazima sayansi uuthibitishe?Zilikuwepo lakini wanasayansi walikuwa bado hawajui kama zipo.
Ninyi tayari mnajua Mungu yupo, lakini hamna uthibitisho wa mlijuaje yupo.
Eleza na thibitisha ulijuaje Mungu yupo?
Basi Kwa dizaini hii watu watafika Mbinguni wakiwa wamechokaKwa kiwango fulani vitabu vilichakachuliwa (Kuongezwa au kupunguzwa).
Ndio.Ok, twende taratibu, kwanza tumekubaliana kwamba uwepo wa jambo si lazima sayansi uuthibitishe?
Dini hizi ni story tu mkuu.Duh, Ujinga ni mama wa Dhambi.
Nani hajui bibilia ni muunganiko wa vitabu vilivyoandikwa kutoka maeneo mbali mbali vikaunganishwa pamoja?
Nani hajui mengine yalikuwa ni ya kusimuliwa, lakini historians and archeologist wame trace na wamekuta vipo kweli?
Nani hajui Rome ndio patron wa kuhifadhi kumbu kumbu zote za Biblia.
Nan hajui kwamba sio mambo yote yanapaswa kufundishwa mwanadamu?
Kwamba vitabu vyote vikusanywe watu wafundishwe kungekuwa na upotoshwaji mwingi sana..
Nani anabisha kwamba Biblia ni kwa ajili ya wanaotaka kuamini?
Kama huamini ni sawa na tutaendelea kukuombea.
Kwa wale wanaoamini jiepisheni na manabii wa Uwongo..
Si sawa kumsema vibaya mpakwa mafuta wa Mungu lakini kwa hili nadhani hajasema ukweli wote.
Kuamini ni uamuzi wako na ni juu ya Roho wa Mungu kukujalia neema hiyo.
Watu wanatoka jasho kabisa kupinga mambo yaliyo bayana.
Huyo Pasta anaongea lakini deep down anaelewa anachokisema na Nin neno la Mungu analotumia kuwakusanya watu hapo kwake..
Tujielimishe.., lakini kuamini ni juu ya mtu binafsi.
Hata Qruan ni uongo uongo tu kama Bibilia.Biblia ni ujanja ujanja tu tutajie andiko lolote ndani ya hiyo biblia inayotambua kuwa kuna kitabu kinaitwa Biblia
Ok boss. Baada ya kukubaliana hili, twende mbele,Ndio.
Alinena Kwa lugha😂Nyoka aliongea na akina Adamu kwa lugha gani.
Ninachojua ni kwamba nyoka hana uwezo wa kuongea.
Madai ya uwepo wa Mungu yalianzia kwenu nyie waamini huyo Mungu.Ok boss. Baada ya kukubaliana hili, twende mbele,
1. Sayansi inasema nini kuhusu MUNGU? Imehitimisha kuwa hayupo au inasema hakuna uthibitisho kuwa yupo?
Kuamini unaweza kuamini hata uongo.2. Sayansi inasema nini kuhusu imani za binadamu?
Dini hizi ni story tu mkuu.
Hiyo Historia iliandikwa na nani na Biblia iliandikwa na nani?Kasome Historia Mkuu Kasome Utawala wote wa roman
Kabla hujajibiwa maswali yako ulitakiwa ujiulze kwanzaManeno ya Mungu yalifichwa na utawala wa warumi kwa miaka 600 mkuu. Kwa hiyo, biblia takatifu ya kweli ilipotea. Biblia ya sasa hivi iliungwaungwa na wazungu kwa maslahi yao binafsi. Kama unaamini hii biblia ya sasa ni neno la Mungu, hebu nijibu maswali yafuatayo:
1. Nyoka aliyemdanganya Eva akala tunda la ujuzi wa mema na mabaya alitoka wapi mbona uumbaji wa nyoka haukutajwa kwenye hadithi ya uumbaji? Au kuna mpinzani wa Mungu aliyemuumba huyo nyoka ili kuharibu mipango ya Mungu?
2. Mungu alikuwa na malengo gani kumuumba mwanadamu mwenye akili pungufu ukilinganisha na akili za nyoka huku akijua kuwa nyoka angemdanganya kwa urahisi na kumlisha matunda kutoka mti uliokatazwa na Mungu?
3. Kwanini Mungu aliumba huo mti wa matunda huko Eden huku akijua kuwa matunda yale yangetumiwa na nyoka kumlisha mwanadamu aliyemuumba? Inawezekana Mungu alifanya makusudi ili mwanadamu ale matunda kisha amuadhibu adhabu ya milele?
Kama alijua kunena kwa lugha basi ni kiumbe nzuri kwa sababu wanadai kuwa shetani haujui kunena kwa lughaAlinena Kwa lugha😂