Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Mwanadamu ambaye ulizaliwa na mda wowote unakufa hutakaa umjue Mungu kwa akili zako zilizojaa uasiWewe unaweza kufanya hivyo? Yaani uwape watoto wako silaha, uwatupie joka lililokushinda wewe chumbani, halafu uwaambie sasa pambaneni mkishindwa sio kosa langu, na on top of that mkishindwa ntawachoma moto milele?
What a loving God 😀
WaTanzania sijui ni lini tutaamka tuachane na hizi injili za uongo na utapeli, na kuna yule mwingine anajiita mfalme Zumaridi wa kike lakini anataka aitwe baba na watu wanamuamini wanajazana kanisani kwake😁🙌Nashangaa eti na ana wafuasi kabisa
Tumuelewaje?
Sayansi haina mdomo wa kusema wala kuongea.Swali jepesi boss, mpaka kufikia tarehe ya leo, sayansi inasema nini juu ya uwepo wa MUNGU? Inasema hakuna MUNGU au hakuna uthibitisho kuwa kuna MUNGU?
Wewe ulijuaje huyo Mungu yupo?Mwanadamu ambaye ulizaliwa na mda wowote unakufa hutakaa umjue Mungu kwa akili zako zilizojaa uasi
Umeshasema huko Dar es Salaam alafu unauliza tena kuna sehemu inaitwa Dar es Salaam, mbona una uwezo mdogo sana wa kujenga na kutetea hoja.Litakuwa lakijinga ndiyo, je huko dar es salaam kunasehem inaitwa dar es salaam? Kama haipo kwanin wew unatafta sehemu iliyo andikwa bibilia ndan ya bibilia?.
Lazima uone yupo smart kwa sababu wewe ni Mpinga kristo namba moja (ISIS) na Geodav ni Mpinga kristo namba 2.Yupo sahihi jamaa ni smart Sana ukiachana na ujanja wake Ila huwa anaongea mambo positive
Kwahiyo Muddy yale maneno aliyatoa wapi?Quran haijataja bikira 72,hata kama ingetaja idadi ya bikira na pombe, tatizo nini?!
Wewe akili hauna kabisa huyo jamaa ni mpumbavu alisema alitokewa na Yesu....sasa kwanini asiulize injili ya kweli apewe na yesu mwenyewe...video hii hapaYupo sahihi jamaa ni smart Sana ukiachana na ujanja wake Ila huwa anaongea mambo positive
Ok,mim nna uwezo mdogo wa kujenga hoja, wew unadhani una uwezo kiasi mkuu low, mid, higelher? jipe marks.Umeshasema huko Dar es Salaam alafu unauliza tena kuna sehemu inaitwa Dar es Salaam, mbona una uwezo mdogo sana wa kujenga na kutetea hoja.
Leta andiko lilalotambua kuna kitabu kinaitwa Biblia kama hamna sema hamna wacha porojo
Amesema yeye ni Mungu😃😃WaTanzania sijui ni lini tutaamka tuachane na hizi injili za uongo na utapeli, na kuna yule mwingine anajiita mfalme Zumaridi wa kike lakini anataka aitwe baba na watu wanamuamini wanajazana kanisani kwake😁🙌
Nikipata nafasi ntahama hii nchi😁😁🙌Amesema yeye ni Mungu😃😃
Sijui wameshikwa wapi jmn
We depend on science and technology to solve our life problems because it works and it helps.We should not believe God to avoid such mentioned factors but as reason why should we depend on science and technology.
Science and technology have reduced the rate of deaths, many diseases can now be treated and cured.Aren't we depend/use technology becoz we are to avoid to die, sickness or poverty?. If yes can science &, technology set as free from such probloms?.
And if no is a science & tech such useless??
Kwahiyo Muddy yale maneno aliyatoa wapi?
Huyo Mungu asipoaminiwa, anapungukiwa nini?Sometimes wadau before hamjamuunga mkono huyo geodev na wote msioamin uwepo wa Mungu kaulizene wazaz wenu.
Tena mkawaoneshe jinsi mlivyo na ushaidi wa kutoanin uwepo wa Mungu.
Halaf sis wengne tuanzie walipoishia wazaz wenu.
Nimesema hivi kwakuwa msingi wa ufaham na tabia unaathiriwa kwanza na malez then inafuataa jamii kwa ujumla.
Shida yako imeanzia hapo. Ni kiongozi gani wa dini ya Kikristu aliyekufundisha kuwa Biblia iliandikwa na Mungu? Nadhani itakuwa umebeba concepts za waisilamu ambao wao wanaamini kuwa maandiko yalishushwa na allah. Katika Ukristu, hakuna kitu hicho na ipo wazi kuwa waandishi ni binadamu na wanatajwa kwa majina kabisa... hata mimi kuna baadhi ya maandiko katika biblia yananipa shida kuamini kama kweli yaliandikwa na Mungu au ni maneno tu ya wanadamu.
Acha kutia huruma jibu swali, Muddy maneno ya kusema peponi wanaume watapewa mabikra 72 na mapipa ya pombe aliyatoa wapi?Uislamu umetuhusia tuachane na watu wasio na staha katika mazungumzo mfano wanaokuja kishari , matusi ,dhihaka nk baada ya kukaa mezani kistaarabu na kujadili kwa hoja .
Hao wafuasi wake ni manyumbu yasiyo jitambua.Nashangaa eti na ana wafuasi kabisa
Tumuelewaje?
Ukiamini Kitu bila kukijua vizuri si kitu kinazhoweza kukuweka kwenye mazingira ya Uhalali wa Hicho kitu..Mkuu kwani science mnayoiaminia saiv imetoka nchi moja? Si kwamba ni muunganiko wa ideas mbalimbali? Anyway ili uamin kwamba ni kitabu cha kweli ulitaka kiandikweje, na nani?.
Pesa zina aminiwa na kila mtu je wote wanajua ziliko toka? Je wote wanaoendesha magar wanajua yalikotoka na historia zake? Je hawafaidiki kwa kutokujua historia za vitu wanavyo vitumia?
Ni vema kujua historia kutokana kiu ya kujifunza na pia nafasi ya mtumishi ktk kanisa ili kuwafunsha wengne lakin sio kwa ajili ya kuproove bible.