Kwa mfano, unadhani ni yapi ni hadithi mkuu? Mimi nafikiri hadithi ya uumbaji ni masimulizi na hisia za wanadamu kama ilivyo kwenye hadithi ya organic evolution kwenye vitabu vya biology. Nyingine ni ile hadithi ya Nuhu na safina yake. Ile nayo ni hadithi pure. Hebu wewe ongezea yale ambayo unadhani ni hadithi tu mkuu.Mimi ni mkristu lakini naamini mengine ni hadithi na mengine ni kumbukumbu ya yaliyotokea.
Amandla...
Ile ya Jonah kuliwa na nyangumi. Koo la nyangumi ni dogo kiasi binadamu hawezi kupita.Kwa mfano, unadhani ni yapi ni hadithi mkuu? Mimi nafikiri hadithi ya uumbaji ni masimulizi na hisia za wanadamu kama ilivyo kwenye hadithi ya organic evolution kwenye vitabu vya biology. Nyingine ni ile hadithi ya Nuhu na safina yake. Ile nayo ni hadithi pure. Hebu wewe ongezea yale ambayo unadhani ni hadithi tu mkuu.
Neno la Mungu halipotei ndugu yangu, unawezaje kupoteza neno la Mungu kwa mfano?Biblia Yenye Neno La Mungu Haipo Mkuu!
Ilipotezwa zaman sana..
Neno Biblia au Bible ni Neno linalomaanisha Mkusanyiko wa Vitabu..
So yes Naamini Kuna Bible ilikuwa na neno la Mungu ambayo sasa Hatuna
Mkuu tujikite kwenye hoja. Kuna mambo mengi kwenye biblia ambayo ukiyaangalia kwa uhalisia unaona kabisa kuwa hapa tunapigwa. Hebu niambie kwa mfano kama hadithi ya Nuhu ni tukio la kweli au ni hadithi. Give concrete evidences.Biblia sio mtaala WA veta..Maneno yasio na asili ya duniani pia tafsiri yake haiko duniani... Waziri mkuu amewataka vijana WA kitanzania wenye degree kurudi veta kupata ujuzi Zaidi na tpaul mwenye akili ya kasuku namshauri aache hizi adventure zisizo level yake aufuate ushauri WA waziri mkuu...
Kitabu cha mwanzo kimeandikwa na Nabii Musa ambae kijana kasuku kama tpaul hamfikii kielimu,,kiuchumi,, exposure,,,utajiri,,kifamilia,,,kiakili,,kimtazamo wala chochote...Lakini kutokana na ukasuku na kufata mkumbo kijana Kutoka mchafu koge ñae ana hoja eti project ya wazungu...
Wewe project yako ni ipi??? Veta kuna fani ya upishi,,karudie upate maarifa.,.Ukiwa jikoni unapikia hoteli muda WA kumkashifu MUNGU hutoupata..
Kila mtu aamini anavyotaka Mkuu. Huyu jamaa simjui wala simfuatili kwa hiyo inaniwia ngumu kukujibu. Ila kwa ujumla namuona kama msanii ambae mara anapotosha wanaomfuata.Kws hiyo wewe unakubaliana na maneno ya nabii GeoDavie kwa 💯 % au unakubaliana kwa 50%? Kwanini? Give concrete evidence.
Hata kama humfuatilii, hayo maneno aliyosema yana ukweli kiasi gani?Kila mtu aamini anavyotaka Mkuu. Huyu jamaa simjui wala simfuatili kwa hiyo inaniwia ngumu kukujibu. Ila kwa ujumla namuona kama msanii ambae mara anapotosha wanaomfuata.
Amandla...
OK sawa Lililopotea Lilikuwa Ni maandishi tu na sio Maneno..Neno la Mungu halipotei ndugu yangu, unawezaje kupoteza neno la Mungu kwa mfano?
mkuu, nadhani uendelee kuusoma vizuri huo mradi wa wazungu., huenda ukapata kuuelewa vizuri. na kuhusu huyo bwana, Geodavie...biala shaka ilikuwa unamuelewa hapo zamani lakini sasa ndo umeshindwa kumuelewa baada ya hilo tamko lake.Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Nabii Mkuu na maarufu Afrika Mashariki na Kati, Nabii GeoDavie, kwa mara ya kwanza ameipinga biblia hadharani kama unavyoweza kumsikiliza kwenye video ifuatayo. Nabii Mkuu ametanabahisha hilo baada ya kukerwa na watu wanaomuandama kila kukicha kuwa hatumii maandiko yaliyomo kwenye biblia katika mahubiri yake. Hebu msikilize wewe mwenyewe hapa mkuu.
View attachment 3279501
MAONI YANGU
Kwa muda mrefu nimekuwa siyaamini mahubiri ya Nabii GeoDavie lakini kwa hili la biblia ni kama vile namuelewa kwa mbaaali! Nasimama na Nabii kwani hata mimi kuna baadhi ya maandiko katika biblia yananipa shida kuamini kama kweli yaliandikwa na Mungu au ni maneno tu ya wanadamu.
Baadhi ya maandiko tata yaliyomo kwenye biblia na ambayo yanawashangaza wengi ni kuhusu kuumbwa kwa mwanadamu pale bustanini Eden na kisha mwanadamu akadanganywa na nyoka na kujikuta akiadhibiwa na Mungu. Adhabu ambazo mwanadamu aliadhibiwa na Mungu zinasimama hadi leo.
Kwanza, huyo nyoka aliyemdanganya Eva akala tunda la ujuzi wa mema na mabaya alitoka wapi mbona uumbaji wa nyoka haukutajwa kwenye hadithi ya uumbaji? Au kuna mpinzani wa Mungu aliyemuumba huyo nyoka ili kuharibu mipango ya Mungu?
Pili, Mungu alikuwa na malengo gani kumuumba mwanadamu mwenye akili pungufu ukilinganisha na akili za nyoka huku akijua kuwa nyoka angemdanganya kwa urahisi na kumlisha matunda kutoka mti uliokatazwa na Mungu?
Tatu, kwanini Mungu aliumba huo mti wa matunda huko Eden huku akijua kuwa matunda yale yangetumiwa na nyoka kumlisha mwanadamu aliyemuumba? Inawezekana Mungu alifanya makusudi ili mwanadamu ale matunda kisha amuadhibu adhabu ya milele?
Utata mwingine ni kuhusu kuoa kwa Cain na Abel. Adam na Hawa walifanikiwa kuzaa watoto wawili tu wa kiume, ambao ni Cain na Abel. Lakini ukisoma katika kitabu cha Mwanzo 4:17, imeandikwa kwamba Cain alimjua mke wake, na akapata mimba na kumzaa Enoch. Huu mstari unazua utata kuhusu ni wapi mke wa Cain alipatikana ikichukuliwa kuwa Adam na Eva walikuwa ndio viumbe pekee waliokuwepo duniani wakati huo. Hata jina la huyo mke wa Cain halijatajwa mahali popote pale kwenye biblia.
Kwa mifano hii ya utata (contradictions), na mingine mingi iliyojaa kwenye biblia, kuna uwezekano mkubwa kuwa biblia ni mradi wa wanadamu, hasa wazungu, iliyotungwa kwa manufaa yao binafsi, hasa maslahi ya kikoloni.
Nawasilisha.
Hakuna kitu kuangalia Ukristo kwa jicho la Uislamu. Hicho kitu kwamba haliwezekani.Tatizo lako unauangalia Ukristo kwa jicho la Uislam.
Wala sijawahi kutaka hilo, sababu najua UISLAMU umekamilika na haulinganishwi na dini nyingine yoyote.Unataka yale wanayofanya/itikadi Waislam na Wakristu wayafuate.
Unashindwa kukubali wao Wakristu Mungu wanayemuabudu siyo Mungu anayeabudiwa na Waislam. Ukikubali hilo wala hautapata shida na mambo ya Wakristu.
Vyote tunaviangalia kutokana na haja. Sasa Leo hii mabudha hawajitangazi au hasako wengi katika maeneo yetu kuzidi nyinyi Wakristo.Jiulize kwa nini hautaki kuuangali Ubudha kama unavyouangalia Ukristu? Jibu ni moja tu. Uislam uko obsessed sana na Ukristu, unajihisi haukamiliki bila Ukristu., na hilo ni tatizo lako siyo la Wakristu.
Mungu hayupo.Hata mungu ana chanzo mkuu? Alitoka wapi?
Mkuu umemaliza kila kitu. Hii hoja yako ipigiliwe msumari iwe bango kila mtu akaisome.Okay, Sasa yule shetani aliyekua anapiga story na Mungu kwenye kisa cha Ayubu ni nani?
Na yule aliyefungiwa kuzimu na Yesu ni yupi?
Km viumbe vyote viliumbwa na Mungu kwahiyo Mungu anaumba vitu ambavyo anajua fika vitamsumbua??
Basi Mungu kazidiwa akili na binadamu, maana binadamu anaweza kutengeneza bomu na akajua jinsi ya kulitegua lakini Mungu anashindwa kumdhibiti shetani aliyemuumba!!!
Hii ajabu sana!! 😹😹
Mbona mwanaume hana mbavu pungufu? Je, ule ubavu alioung'oa Mungu ulichipua tena?Mwanzo 2:21
[21]BWANA Mungu akamletea Adamu usingizi mzito, naye akalala; kisha akatwaa ubavu wake mmoja, akafunika nyama mahali pake,
Mwanzo 2:22
[22]na ule ubavu alioutwaa katika Adamu BWANA Mungu akaufanya mwanamke, akamleta kwa Adamu.
Nilikwambia Wewe ni kasuku Kwa hio kama unaweza nenda kasali Kwa geo davi alioshindwa kumsaidia mwanae aliekuwa na msongo WA mawazo (depression) kama Wewe.Ila Anglia usije kuishia kujichora tattoo.Mkuu tujikite kwenye hoja. Kuna mambo mengi kwenye biblia ambayo ukiyaangalia kwa uhalisia unaona kabisa kuwa hapa tunapigwa. Hebu niambie kwa mfano kama hadithi ya Nuhu ni tukio la kweli au ni hadithi. Give concrete evidences.
Nabii wa kweli ni yupi?Yule ni mtumishi wa ibilisi, mafundisho yake ni utata mtupu. Kule tu kujiita nabii mkuu ni uongo mtupu hakuna nabii wa kweli wa namna ile. Nyumbu tu ndio anaowadanganya na kujaza sinagogi lake.