Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,397
- 6,015
Kama mnaemuita mtesiwenu amesha kufa sasa mnataka maridhiano na nani wakati muhusika amesha kufa ama anawajia usingizini maana mnalopoka sana kama mmekatwa vichwa.Bila tume ya maridhiano hali itakuwa tete, Samia, mpango na kasimu watoke hadharani waje waombe radhi , tushikane mikono tusonge mbele tuandike katiba mpya.
Ccm wakidharau hii kitu nchi itapasuka
Una uhakika ametukana? Atatakiwa tu kuthibitisha nini uthibitisho wa uwepo wa shetani katika mtazamo wa imani yake. Yale yalikuwa mahubiri kanisani.Ilikua na shetani au Ina shetani, mwingira anapaswa kuchukuliwa hatua kwa kumtukana mama samia
Yote tisa mia magufuri alikuwa na mapungufu ya kiongozi watu hawezi kuacha kusema. Ukiona watu wanaongea usidhani niwajinga wanaelewa. Kwenye issue ya vyeti fake mzee alikuwa na bias, rejea issue ya makonda. Issue za kukwepa Kodi mzee alikuwa na bias pia, rejea issue ya makontena barabarani. Kwenye issue za ufisadi alikuwa mnafiki tu, rejea report ya CAG, baadhi ya miradi kuzuia isikaguliwe. Acha ushabiki fungua akili yako Magu hakuwa Mungu alikosea mengi tuShetani ni yoyote aliekuwa anakwepa kodi,alietumia cheti feki,aliekumbatia wafanyakazi hewa na wale wote wanao isaliti nchiyao wenyewe.
Wakati mama anasema ANAYAPONYA MAJERAHA KWANZA.. ulimuelewa?Acha uongo Chief
NdioKwa hiyo Samia ni shetani?
Huu ujinga wakutukuza viongozi ifike muda tuache ujinga, mwingira katoa nyongo zake coz kuna elements za magufurism bado zipo. Rais ni mtu kama sisi acha apewe changamotoUna uhakika ametukana? Atatakiwa tu kuthibitisha nini uthibitisho wa uwepo wa shetani katika mtazamo wa imani yake. Yale yalikuwa mahubiri kanisani.
Sasa baada ya kondoa wafanyakazi waliosemwa kuwa wana vyeti feki, wafanyakazi hewa etc WAGE BILL ilipungua?Shetani ni yoyote aliekuwa anakwepa kodi,alietumia cheti feki,aliekumbatia wafanyakazi hewa na wale wote wanao isaliti nchiyao wenyewe.
Wakwepa kodi wakubwa ni hao unaodhani ni wazalendo. Kama mtu analazimisha hawara yake apewe nyumba ya serikali. Kama mtu huyo huyo anatumia billions of shillings kutuletea Ferry isiyotembea, na baadaye kuihamishia jeshini ili isiongelewe . Eti ni kifaru cha kijeshi ! . Alikuwa na uzalendo gani huyo kuwazidi wpengine ?! Ukishaona mtu anampa mtoto wa dada kuwa paymaster general . Uzalendo happo ni zeroShetani ni yoyote aliekuwa anakwepa kodi,alietumia cheti feki,aliekumbatia wafanyakazi hewa na wale wote wanao isaliti nchiyao wenyewe.
Cc Crimea mama D johnthebaptist YEHODAYATuunde tume ya haki na maridhiano kama zile za South Africa na Rwanda ipite nchi nzima watu watoe machungu yao kisha wasamehe taifa liende mbele.
Yeye mbona anawaibia waumini wake sadaka pale kanisani kwake mwenge? Na yeye pia wakala wa ibilisi tu
Unamtishia? Mwingira analamba yeyote anayejipendekeza mbele yake hata wewe!Huyu ana usafi gani wa kuisema ikulu, ilihali yy alizaa na mke wa mtu? Hao anaowaita mashetani ndio waliomsaidia kuinfluence judgment ya kupinga mtoto aliezaa na mke wa mtu kupimwa DNA...angepimwa DNA yule mtoto saa hii tungekua tunaongelea mengine...nadhani ni muda muafaka jamaa akakate rufaa kesi ianze kuskilizwa upyaaa then anaowaita mashetani wamuache apambane na hali yake.
Nenda na wewe kawaibie kama kuiba ni rahisi hivyo.!Yeye mbona anawaibia waumini wake sadaka pale kanisani kwake mwenge? Na yeye pia wakala wa ibilisi tu
Mimi nitakufa siku yoyote and I don't care, nashukuru Mungu nitakufa na dhambi lakini siyo ya kuondoa uhai wa watu wala kuzurumu watu.Wewe hutaondolewa, namuomba Mungu akutupe.
achana na kuzaa na mke wa mtu,hata angekuwa shoga anayo haki. Nyinyi wauaji ndiyo mna haki ya kusema? wauaji na wanyanganyi mmemnyanganya mpaka mke balozi na bado mnanyooshea wengine kidole. mmetomba mke wa balozi na ving'ora vimepaki nje mnawezaje kusema wengineHuyu ana usafi gani wa kuisema ikulu, ilihali yy alizaa na mke wa mtu? Hao anaowaita mashetani ndio waliomsaidia kuinfluence judgment ya kupinga mtoto aliezaa na mke wa mtu kupimwa DNA...angepimwa DNA yule mtoto saa hii tungekua tunaongelea mengine...nadhani ni muda muafaka jamaa akakate rufaa kesi ianze kuskilizwa upyaaa then anaowaita mashetani wamuache apambane na hali yake.
Cc Crimea mama D johnthebaptist YEHODAYAKweli kabisa utawala wa ibilisi joka kuu ulikuwa umelaanika na wa kishetani kabisa. Ule wizi wa kura wa kishamba ambao haukuwahi kutokea katika sayari ya tatu 2020, ni dalili tosha shetani alikuwa ametamalaki.
Tusameheane kwani tulikosana wapi? Semeni ukweli, mbowe ndie asamehewe.Tuunde tume ya haki na maridhiano kama zile za South Africa na Rwanda ipite nchi nzima watu watoe machungu yao kisha wasamehe taifa liende mbele.