Nabii & Mch. Steven Gumbo: Kuna matukio 7 atakayoyafanya Tundu Lissu kuuangusha utawala wa Samia na CCM. Yameruhusiwa na Mungu. Hakuna wa kuzuia

Kwa hiyo huyo Mungu wake amesema Lisu atapona au atakufa?

Bangi na konyago havifai kutumia ndio unaenda madhabahuni 😆😆
 
Hawa matapeli ndio walidai.kuna karatasi nyeupe italetwa na wazee wa CCM ya kumtangaza mgombea Urais.

Wagombea wamepigishwa na hakuna hiyo karatasi 😆😆
Usibeze!

Cyprian Musiba anachokisema kwenye clips zake zinaashiria waliomtuma wana jambo Fulani la kusapoti ushindi wa upinzani na sio CCM ya Mama!!

Ukijaribu kusikiliza Kwa makini ninkwamba CCM ya mama imepoteza mvuto hata kama inatumia fedha na wasanii kibao lakini wats wameidharau ndio maana uchaguzi wa chadema ulifuatiliwa na wananchi japo hawakua na wasanii!

Kama unaakili timamu utakua unaelewa Musiba anafanya KAZI na kina nani na ni mkubwa kijasusi kiasi gani na ujumbe anaoutoa una maana gani!

Na kama unabisha nenda Rondo kamuulize RIP niguse ninuke Msiba ana uzito Gani Hadi kadinaki pengo amshauri niguse ninuke aachane na kesi Ile na baada ya niguse ninuke kwenda na kesi ikafa!

Fikiria kama mwanaccm mwenye akili mtambuka na sio chawa!!

INAWEZEKANA CHADEMA WASISHINDE URAIS LAKINI WAKASHINDA UPINZANI WENGINE WALIOANDALALIWA KUSHINDA KWA MGONGO WA CCM TANGANYIKA!

NAWAZA!
 
Musiba ni wa kupuuzwa tu,

kubabaika nae ni kujipotezea uelekeo na kuanza kuamini imani za akina Makenzi wa Kenya huko shakahola na Kibwetere wa huko uganda.

ni muhimu kujiepusha kujitumbukiza kwenye kuzingati mambo ambayo yanahubiriwa na watu wa aina za akina Makenzi, Kibwetere na Musiba kwenye siasa makini za ndani ya ccm imara na madhubuti zaidi kuliko wakati mwingine wowote tangu uhuru
 
Ndivyo mulivyo chawa!hamna macho Wala masikio!

Poleni,kama musiba ni mjinga kwanini Sasa!!?

"Haifanyiki Kwa bahati mbaya,Kuna kitengo Cha propaganda pale ikulu, sio jpm wala Diwani Athumani anaejua beacon za nchi zilipo" de'levis
 
Ndivyo mulivyo chawa!hamna macho Wala masikio!

Poleni,kama musiba ni mjinga kwanini Sasa!!?

"Haifanyiki Kwa bahati mbaya,Kuna kitengo Cha propaganda pale ikulu, sio jpm wala Diwani Athumani anaejua beacon za nchi zilipo" de'levis
sasa gentleman,
unamuaminije mtu kama Musiba? huenda tatizo likawa ni lako binafsi, kwasababu mtu makini na timamu hawezi kubabaika na siasa za Musiba hata kidogo.

na hakuna haja ya kuhusisha taasisi na watu muhimu nchini, wasio husika na mambo mepesi na yasio na athari kabisa kisiasa nchini kama yanayosemwa na huyo unaemuamini, ambae kimsingi ni makosa mabaya kabisa kufanya hivyo kama mwanafunzi wa siasa anaetarajia kujitegemea baadae
 
Kuna mtu atakuja kupata kesi ya uhaini siku moja, ndio watajifunza hekima na kuacha uroporopo

Torati inasema unabii usipotimia huo ni wa uongo, huyo nabii auwawe, msimuonee huruma, wakiambiwa hivi wanaanza kurukaruka Kama maharage.

Hivi kuna nabii amewahi kumtabiria hivi Kagame, anajua kinyesi kitatokea mdomoni, hata Kama yupo TZ
 
Kuna mtu atakuja kupata kesi ya uhaini siku moja, ndio watajifunza hekima na kuacha uroporopo
Hii ni Ishu ya imani rafiki..

Ili ku - prove kuwa ni kweli au uongo ni kusubiri..

Lakini ukiwa ni mtu wa rohoni, utaelewa kuwa ishara zote za haya yaliyosemwa ziko wazi na zunathibitisha unabii..

Huu utekaji na mauji unadhani ni kwa sababu gani..?

Kama hujui ni kutimizwa kwa unabii huu...

Bibie huyu (Samia Suluhu Hassan) analazimisha kubaki madarakani ili hali hatakiwi, amekataliwa na watu pamoja na Mungu...

Asipoona na kutii kwa hiari yake mwenyewe, nakuambia hivi KWA HAKIKA KABISA ATAKUFA...!!
Torati inasema unabii usipotimia huo ni wa uongo, huyo nabii auwawe, msimuonee huruma, wakiambiwa hivi wanaanza kurukaruka Kama maharage.
Subiri uone. Halafu uwe wa kwanza kuchukua jiwe kurusha ili uue..

Nakushauri toa dhana ya usabato wako hapa, maana haiwezi kufanya kazi...!
Hivi kuna nabii amewahi kumtabiria hivi Kagame, anajua kinyesi kitatokea mdomoni, hata Kama yupo TZ
Wewe unaonaje..?

Inajulikana kabisa kuwa shetani akiwa ndani ya mtu ni hatari sana...

Hakubali utawala wake kuanguka kirahisi...

Unamkumbuka Eliya na Yezebeli dhidi ya miungu ya baali..?

Lakini Yezebeli aliishia wapi..? Na Elijah je..?

Soma maandiko uyaelewe...
 
Nimecheka hadi nimepaliwa baada ya kuona jina la gwjima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…