permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,484
- 15,297
Lisu alisema fedha za ruzuku zinatosha kuongoza chama vizuri kabisa, kwani ruzuku imesitishwa?Kuna watu wenye akili ndogo mlikuwa mnasema Mbowe anaisapoti Chadema kupitia hela zake za Biashara .
Ila Lissu alihoji je ikiwa Ana hela za biashara ni biashara gani hizp ambazo hazina jina.
Ni vichekesho Sana wakuu nadhani mmeshajua aina gani ya biashara alikuwa anaifanya na wapi alikuwa akipata hela.
Ccm utapambana na chama ambacho watu wake hawajitambui na hawajui kujenga hoja zaidi ya kuua ,kuteka na kuumizaCCM wanafurahi sana wamepumzika. CDM wameacha kupambana na CCM vita yao kuu sasa ni Mbowe & CHAUMA.
Heche & Lema wamefanikiwa kukiondoa chama katika malengo yake.
Humjui mbowe vizuri ungemjua ungesipo sema haya.
Kwa muhtasari tu ni kuwa mpaka mwaka 1995 bwana mbowe alikuwa ni mmoja wa vijana (watoto) wa mabillionea wachache wa hili taifa.
Mali alizonazi leaders club, na hoteli zote utazoziskia anamiliki hajrithi Bali ameanzisha kwa harakat zake kabla ya siasa.
Kampeni za mwaka 2005 zilifanyika kwa hela yake alouza nyumba yake moja tu pale USA...
Nenda hata Google wanamjua huyu MWAMBA kuwa ikiwa Sio siasa bas level take ilikuwa ni sawa na kina Mo dewji Leo hii.
Mbowe ni ccm alikuwa akifake struggleBraza K Mapovu ametengeneza nyumbu wengi waropokaji. Wanafyatua uzushi tu na matusi. Mbowe aliyewaongoza kwa mafanikio makubwa leo mnamtendea hivi kwa maagizo toka Nairobi?
sidhani kama ni ya Mbowe...sijui anywayleaders club
Nilishawai kusikia hii kwamba jamaa ni system na kwamba yupo pale kwasababu!Mbowe ni ccm alikuwa akifake struggle
kweli wewe funzaWewe utakuwa ni mnufaika wa biashara haramu ya ulanguzi wa kisiasa na lazima upo Chaumaccm chama chenu cha kutakatisha pesa kwa njia haramu za kishetani
Mabaya yote yanayotokea Lisu ni mipango ya mbowe na makala ili wapate kisingizio cha kupewa mabilioni ya kuidhoofisha chadema, Dili za mbowe zipo wazi na ni mda sahihi wa kumwambia ukweliHuyu shetani kuna vitu huwa anaongea vya ukweli sn
Hahahaa just to say hahahaaRubbish, poor thinking!
Mkuu akichukua 5b anachukua 800m anaweka chamani tena kwa kukopesha na michango labda ya 200m anaonekana Goat chamani huku ametia 4b kibindoni na 800m inakua kwenye mkopo atalipwa mbeleni huu ni utapeli wa hali ya juu umechelewesha sana mageuzi ya kweliKuna watu wenye akili ndogo mlikuwa mnasema Mbowe anaisapoti Chadema kupitia hela zake za Biashara .
Ila Lissu alihoji je ikiwa Ana hela za biashara ni biashara gani hizp ambazo hazina jina.
Ni vichekesho Sana wakuu nadhani mmeshajua aina gani ya biashara alikuwa anaifanya na wapi alikuwa akipata hela.
Hakuna sababu, Mbowe naye amefanya mengi CHADEMAMabaya yote yanayotokea Lisu ni mipango ya mbowe na makala ili wapate kisingizio cha kupewa mabilioni ya kuidhoofisha chadema, Dili za mbowe zipo wazi na ni mda sahihi wa kumwambia ukweli
Hakuna sababu, Mbowe naye amefanya mengi CHADEMA
Mbowe ni Dalali wa Siasa ni mwizi wa pesa za walipa kodi kwa njia haramu za kishetani wala siyo system ni mtu wa hovyo mwenye Roho mbayaNilishawai kusikia hii kwamba jamaa ni system na kwamba yupo pale kwasababu!
Ahaaaa😁Mkuu akichukua 5b anachukua 800m anaweka chamani tena kwa kukopesha na michango labda ya 200m anaonekana Goat chamani huku ametia 4b kibindoni na 800m inakua kwenye mkopo atalipwa mbeleni huu ni utapeli wa hali ya juu umechelewesha sana mageuzi ya kweli
Mbowe ni muhuni na mwizi Kama ccmMbowe ni Dalali wa Siasa ni mwizi wa pesa za walipa kodi kwa njia haramu za kishetani wala siyo system ni mtu wa hovyo mwenye Roho mbaya
Hata chai hujanywa unaanza kuhangaika na wanaume 😀 ........MTU anasema yeye ni mfanyabiashara Ila swali je Ana biashara gani ambazo zinaweza kumfanya awe billionaire?
Bila Lissu kumlipua Mbowe mgeendelea kuamini huu ujinga .