Unataka kujua majina ya biashara za Mbowe au unataka kuwa na uhakika kwamba ana hela?Kuna watu wenye akili ndogo mlikuwa mnasema Mbowe anaisapoti Chadema kupitia hela zake za Biashara .
Ila Lissu alihoji je ikiwa Ana hela za biashara ni biashara gani hizp ambazo hazina jina.
Ni vichekesho Sana wakuu nadhani mmeshajua aina gani ya biashara alikuwa anaifanya na wapi alikuwa akipata hela.
Ugonvi wa Chacha wangwe na mbowe na ugonvi wa zito na mbowe wote ulikuwa juu ya cheo cha mwenyekiti, ccm wana mabaya yao lakini la wangwe na zito ni tuhuma zake siyo ccm, Mbowe ni mtu wa hovyo sana, kwanza ni mwizi wa pesa za chama pia alikuwa akiomba Rushwa ya ngono kwa wabunge viti maalum mpaka kuzaa nao huku wengine wakichangia na Salum mwalimu ambae pia kazaa nao pia, file la Mbowe ni baya hata uje na utetezi gani hakuna wa kukaa akuamini wewe mpaka Mbowe arejeshe pesa za udalali wa G55 kwenda chauma ubwabwaChacha Wangwe aliuwawa na CCM ili kumpakazia Mbowe na Chadema lakini ilibuma ndiyo maana hata kwenye uchaguzi mdogo wa kujaza nafasi ya Chadema ilishinda tena kwani hata wapiga kura na wanachi wote wa Tarime walijua kuwa ni CCM ndiyo walimuua Wange, hadi leo watoto wa Chacha Wangwe ni makada watiifu wa Chadema. Pia ishu ya Zitto kupewa sumu ni uongo, Zitto alishtukiwa kuwa ni wakala wa TISS na habari za kiuchunguzi za yeye Zitto kutumika na mfumo kuihujumu Chadema ziliandikwa vizuri sana na gazeti la Mwanahalisi.
Utakuwa umetumwa na mbowe lakini haujajipangaUnataka kujua majina ya biashara za Mbowe au unataka kuwa na uhakika kwamba ana hela?
Unapoulizwa swali unapaswa kujibu ili mjadala upimwe, sio kukimbilia kusema umetumwa.Utakuwa umetumwa na mbowe lakini haujajipanga
Takataka weweKuna watu wenye akili ndogo mlikuwa mnasema Mbowe anaisapoti Chadema kupitia hela zake za Biashara .
Ila Lissu alihoji je ikiwa Ana hela za biashara ni biashara gani hizp ambazo hazina jina.
Ni vichekesho Sana wakuu nadhani mmeshajua aina gani ya biashara alikuwa anaifanya na wapi alikuwa akipata hela.
Sasa Kuna shida gani? Toa tone tone Wacha maneno yasiyo na msingi.Kuna watu wenye akili ndogo mlikuwa mnasema Mbowe anaisapoti Chadema kupitia hela zake za Biashara .
Ila Lissu alihoji je ikiwa Ana hela za biashara ni biashara gani hizp ambazo hazina jina.
Ni vichekesho Sana wakuu nadhani mmeshajua aina gani ya biashara alikuwa anaifanya na wapi alikuwa akipata hela.
InafikirishaAngalia chauma ghafla wamekuwa matajiri hadi wanaitisha mikutano mikubwa, jua hapo uwekezaji wa Abdul umehamia Chauma
Baba yake alikuwa mtu mkubwa na rafiki wa karibu wa Nyerere, alipigania uhuru pia, nadhani ni moja ya wazee wenye mchango mkubwa kabla na baada ya uhuru.Biashara zipi hizo zisotajwa?
Rubbish, poor thinking!
stupidMpambanie wasimchafue mtu wako. Pambana sana hawa wahawajui wewe Mbowe kakutoa wapi na kakuweka wapi.
Majinga yako mengi sana..Ccm wako kimya wanajizatiti wenyewe wako busy kucharurana kwa mambo ambayo hata hawayajui zaidi yakujazana ujinga..Kwakitoka wanakaririshana No reform no election wakati huo hawana mikakati yoyote zaidi ya ujinga.CCM wanafurahi sana wamepumzika. CDM wameacha kupambana na CCM vita yao kuu sasa ni Mbowe & CHAUMA.
Heche & Lema wamefanikiwa kukiondoa chama katika malengo yake.
stupid
Mbowe hiyo Chadema lilikua ni duka lake la jumla jumla kama yale maduka ya Wachina huko Beijing..
Kuna watu wenye akili ndogo mlikuwa mnasema Mbowe anaisapoti Chadema kupitia hela zake za Biashara .
Ila Lissu alihoji je ikiwa Ana hela za biashara ni biashara gani hizp ambazo hazina jina.
Ni vichekesho Sana wakuu nadhani mmeshajua aina gani ya biashara alikuwa anaifanya na wapi alikuwa akipata hela.
Hizi comments ni kero kwa kina Lusungo Fundi Mchundo Ngongo Stuxnet.Ni kweli kabisa ,nyumbu wanamwita huyu mzee ni bilionea wakati tax records zake hazionyeshi kama ni mlipa kodi mkubwa