Karibu mbeya karibu Sanaa naomba nijue fan yakoKwa wataalamu wanaopajua Mbeya vizuri tupeana ripoti kuhusu makazi.
Nahitaji nipate room yenye gharama ya chini ya elfu 30 na nikalipa mwezi na kujipanga.
Nachokisikia Mbeya maisha ni marahisi nahitaji kwenda kujaribu huko.
Au sio zana zipi za kujikoki?Andaa zana za kujikoki maana baridi ya huko si ya spoti!!!.Baada ya mwezi nduguzo watakusahau kwa jinsi utakavyonenepa,kule ukiagiza hata chips kavu lazima wakukatie na parachichi ofa 😂😂😂.
Umaskini ni ugonjwa kabisa.Dah! Ila umaskini mbaya[emoji45]
Fan how ?Karibu mbeya karibu Sanaa naomba nijue fan yako
UjuziFan how ?
My skills or education?
Ujuzi ninaouweza ni ufundi madishi.Ujuzi
Karibu swax mkuu tumejichimbia huku tunalima kwa kweli hata mimi dar ni kwenda kuspend time mana nina makazi but mishe zote mbeya na sumbawanga ardhi sawa na bure mashamba ndo usiseme mpka raha hali ya hewa sasa dahNilikuwa na ziara mikoa ya Rukwa, Katavi, Kigoma, Mbeya, na Mwanza last month aisee nilivyokuwa natoka Sumbawanga kwenda Mbeya niliona maajabu mahindi yalivyolimwa pembezoni mwa barabara nikahisi Mbeya ni sehemu sahihi ya kuishi.
Njoo rukwa mkuu sumbawanga hapapishani na mbeya japo mbeya ni jiji na mishe ni nyingi zaidi ila sumbawanga napo fursa zipo sanaUjuzi ninaouweza ni ufundi madishi.
Kkkkkkkk mkuu na hii miezi ni balaa kabisa yaani khsu kula ni kula kujigalaza huku usipojimentain unatoka kama big mamaAndaa zana za kujikoki maana baridi ya huko si ya spoti!!!.Baada ya mwezi nduguzo watakusahau kwa jinsi utakavyonenepa,kule ukiagiza hata chips kavu lazima wakukatie na parachichi ofa [emoji23][emoji23][emoji23].
JF walikudanganya na wewe ukaamini utapata chipsi za 300? kkkkkkknilisikiaga mbeya viaz ving ni kweli lkn kwa sh 300.? kwan hawajui chpps kama zinapendwa.? mbona hapo kabwe nimeuziw tu kawaid kav buku ba yai 2000.sema zinakua nying
Sumbawanga aje ameaga kwao. Hamchelewi kumfanya zombi.Njoo rukwa mkuu sumbawanga hapapishani na mbeya japo mbeya ni jiji na mishe ni nyingi zaidi ila sumbawanga napo fursa zipo sana
Geita pako njema sana.
Geita pako njema zaid ya chunya?Geita pako njema sana.
Hii ni sahihi kabisa mkuu, japo nimekaa siku mbili hapo sumbawanga lakini kuna kitu nimegundua.Karibu swax mkuu tumejichimbia huku tunalima kwa kweli hata mimi dar ni kwenda kuspend time mana nina makazi but mishe zote mbeya na sumbawanga ardhi sawa na bure mashamba ndo usiseme mpka raha hali ya hewa sasa dah
Kitugani kitakutofautisha wewe na mafundi madishi wa mbeyaUjuzi ninaouweza ni ufundi madishi.
Kiujumla wanyakyusa,wasafwa,wamalila nk wote wazawa kama una maanisha mbeya mjini wasafa ndio wenyeji asilia.Wazawa ni kabila gani wasafwa?
Mwezi wa tatu nilienda mkoa mpya Songwe nikafikia guest house moja inaitwa MKULIMA karibu na ILASI petrol station nilishangaa gharama ya kulala ni sh 10000 kwenye chumba chenye choo na bafu,maji ya moto,TV,nguo zisizidi 3 unafuliwa,viatu unabrashiwa na sahani ya wali na maharage ktk elfu 10 hiyohiyo na iko vizuri kuliko hata baadhi ya guest za dar za 30K!Andaa zana za kujikoki maana baridi ya huko si ya spoti!!!.Baada ya mwezi nduguzo watakusahau kwa jinsi utakavyonenepa,kule ukiagiza hata chips kavu lazima wakukatie na parachichi ofa [emoji23][emoji23][emoji23].
Geita maeneo ganGeita pako njema sana.