[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahMbeya ni safi sana ila hawajui kukata mauno, shanga wanaona uchafu.
Kwanza Mnyakyusa na chips mayai wapi na wapi? Findu fya bajanga?nilisikiaga mbeya viaz ving ni kweli lkn kwa sh 300.? kwan hawajui chpps kama zinapendwa.? mbona hapo kabwe nimeuziw tu kawaid kav buku ba yai 2000.sema zinakua nying
Madam , naomba tuwasiliane. PM iko open?Alafu wewe mbona unaonekana mjanja?
kishapata pakushika huyo, anachokifanya hapa ni dhihaka tu!.Wenzako wanazungumzia Ishu za Kiuchumi wewe unawaza mbususu,dah!!, Kweli dunia tambala bovu.
Nafaka mbalimbali ikiwemo alizeti,mpunga na viaziKwa mtu anayetaka kufanya biashara ya Kuuza mazao, ungemshauri mazao gani aanze nayo?
Ungekuwa mdogo Sana kama usemavyo Mji ungekuwa haukui na maendeleo ya mkoa yangedumaa.Ila mbeya mzunguko wa hela ni mdogo sana
Wapi uliziona hizo chips za 300? Au bado mumekariri stori za zama za zilizopendwa?Angalizo, ukiona sehemu kuna chips mpaka za shilingi 300, basi jua hlo eneo hela ni ngumu mno kupatkana ndo maana hata 300 wanaithamini
Nimeishi,uliishi lini na ukaondoka lini? Unadhani kila siku ni kama Jana?Nimeishi mbeya mjini, ule mji upatikanaji wa pesa ni mgumu sana
Komaa mkuu...ujana wetu ndo huu, ukipita ni mwendo wa uzeeni na kuomba omba kwa watoto wetu[emoji848]kama unao lakini.
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Pole Sana mkuu,hali ya hewa inaruhusu iwe hivyo.Mbeya haitegemei Mazao tuu bali shughuli anuwai za kiuchumi zikiwemo madiniMi nilichogundua sehemu yoyote ambayo vyakula vinapatikana kwa bei nafuu basi iyo sehemu mzunguko wa hela ni mdogo sana
Saizi ni tofauti na zamani japo bado kidogo hasa msimu wa baridiNimeishi mbalizi,itende na maeneo ya meta hapo, mbeya ni mji mmoja mzuri sana kuishi vyakula bei rahisi,hali ya hewa safi,ukarimu nk;tatizo la huko kipindi cha mvua kuna tope sana, udongo wa huko ni mfinyanzi,wakati wa vumbi napo utatamani muda wote ukae ndani yani ni kero, mbeya watu wanawahi sana kujifungia ndani saa 4 usiku daladala za kutafuta sijajua kwa Sasa maana nimetoka huko 3 years ago,wanawake wa mbeya kiukweli sio wagumu kihivyo juhudi yako tu [emoji38][emoji38].Huko nyumba zao nyingi kwa maeneo niliyoishi zimejengwa kwa matofali mabichi chache sana zimepigwa plasta kwa nje ukiwa mtu wa kupenda vyumba au nyumba zenye standard inayotakiwa utaangaika kidogo,mzunguko wa pesa sio mkubwa sana.
Ni wale wapuuzi wanaoamini eti Mbeya kuna jengo moja la lift ..wakati kiuhalisia leo hii Jiji limekua Sana na ndio maana wanagwanya kupata Manispaa ya Uyole na Mbeya Jiji.nilisikiaga mbeya viaz ving ni kweli lkn kwa sh 300.? kwan hawajui chpps kama zinapendwa.? mbona hapo kabwe nimeuziw tu kawaid kav buku ba yai 2000.sema zinakua nying
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Acha fix weweWalikupiga Mkuu , na hapo zimepanda bei zilikuwa chips tsh 100 na wali maharage 200.
Mpuuzi huyo achana nae.Mbeya saizi kuna hadi UDSM-MUCHAS yaani University of Dar es Salaam -Mbeya University College of Health and Allied Sciences.mwkaa gan mamb ya 200? juz juz tu nimekula hapo vwawa wali nyama maharag na nikaona napewa na parachcih 2000.
Karibu...ntakuchekMadam , naomba tuwasiliane. PM iko open?
mwkaa gan mamb ya 200? juz juz tu nimekula hapo vwawa wali nyama maharag na nikaona napewa na parachcih 2000.