Nahitaji kazi yoyote ili nipate 1,050,000/= ndani ya siku 7

Utakula ada ambayo unailipa mwenyew?
Mm najisomesha na biashara yangu ambayo ime collapse baada ya kupigwa tukio
 
Ni jambo jema kama uko stable , kwangu mm siko stable ndio maana sina luxury ya kusema nafanya kila jambo nalolitaka
 
Ahirisha chuo ukatafute pesa kisha usome.

Au kachukue mkopo Bank ili uwe unajua una deni la kulipa.

Sasa nani akusomeshe bure wewe mtu mzima, ikiwa watoto wadogo wao wanakopeshwa na HELSAB?

Chukua mkopo, ukimaliza hicho chuo chako utalip
Hapo ndio umeleta hoja nzuri ,angalau naweza kufungua mawazo mengine, ila bank si watahitaj fixed assets ?
 
Ni jambo jema kama uko stable , kwangu mm siko stable ndio maana sina luxury ya kusema nafanya kila jambo nalolitaka
Tulianza mapambano tukiwa na umri mdogo sana, na nimefanikiwa kusoma mpaka diproma ya IT kwa kazi ya kuendesha bodaboda. wewe unakwama wapi?
 
Tulianza mapambano tukiwa na umri mdogo sana, na nimefanikiwa kusoma mpaka diproma ya IT kwa kazi ya kuendesha bodaboda. wewe unakwama wapi?
Bro mm pia napambana , na deal na nguo za mtumba Mwanza mlango mmoja ...ila kwakua kuna distance kubwa na nilipo niliiacha kweny usimamiz mwingin nikiwa na malengo baada ya muda niivute biashara ije hku dom but uaminifu umeniua na sina cha kufanya ndan ya muda huu mfupi
 
Issue ndio imekaa hvo, kama unaona kuna element za mm kua muongo its okay lakin kama una n challenge nakuskiliza
 

Attachments

  • Screenshot_20250608_133910.jpg
    235.6 KB · Views: 17
Happ kilichobaki ni kutoa milio tu.. hakuna namna
 
Upi Msimamo wako kwenye no reform no election?
 
Upi Msimamo wako kwenye no reform no election?
Kaka, mm na serikali hatupatani ....nmepoteza zaid kweny harakat zangu ,mbunge wangu ni mjinga .....reform lazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…