Nahitaji kazi yoyote ili nipate 1,050,000/= ndani ya siku 7

Asante Kiongoz
Sio mbaya kusoma na wadogo zako.........cha muhimu upate elimu......NAKUMBUKA 2019 PALE ARDHI UNIVERSITY , NILIKUWA KAMA KICHAAA



JUST NIKASHUKURU TUU KWAKUWA SINA ULEMAVU.....NIKA POSTPONE. THAT ACADEMIC YEAR 2019/2020 MAANA WANA DARASA NDO WALIKUWA NDUGU ASEEEEEEEE. NA WALE NILIOZALIWA NAO HATA SIKUWAONAGA WAKINIPIGIA SIMU....
 
Hio ni sad truth kaka , Asante
 
Mkuu ulisoma degree pale? Kuna kozi nahitaji kufafanuliwa pale na kupewa muongozo ipi ni bora, unaweza kunisaidia hilo???
 
Hujui namna ya kuvunja barafu

You do not know how to break the ice, there's no easy money
 
Acha kuandika uzi wa kusanifu watu. Kwanza miaka 28 bado uko cha afya inatafakarisha.. kwanini umechelewa kiasi hicho?
Nmeongelea Ateba nkimaanisha watu wa kubeti kwa lugha ya picha kua unabet over alafu striker hafungi
Alafu miaka 28 n kua nmerud skuli kwa hiari yangu sio kwamba nasomeshwa na mtu
 
Hujui namna ya kuvunja barafu

You do not know how to break the ice, there's no easy money
Am not asking for easy money , nipe kaz isiokua tu ya kuvunja utu au kuua na nta provide positive results
 
Am not asking for easy money , nipe kaz isiokua tu ya kuvunja utu au kuua na nta provide positive results
Hujui kujieleza, hata hivyo nikuimarishe tu kwamba binadamu akipata yasiyotarajiwa ama changamoto huweza kuruka viunzi ama pata suluhisho

Kinachotakiwa ni kufikiri kwa ziada jinsi ya kukabiliana na changamoto uliyo nayo

Binadamu akipata yasiyotarajiwa ama changamoto huamsha ubongo kuchakata taarifa za kuwezesha kupata suluhisho
 
Nmekuelewa mkuu🙏🏻
 
Tulianza mapambano tukiwa na umri mdogo sana, na nimefanikiwa kusoma mpaka diproma ya IT kwa kazi ya kuendesha bodaboda. wewe unakwama wapi?
Elewa kwamba sio kila asiyekuwa na kikubwa/kujimudu kiuchumu ni mzembe,tunatofautiana rangi ,kimo hivyo hivyo kudra hutofautiana.
Kuona kwako ulipita njia ngumu na kusogea mbele si mwisho wa mapambano ndio maana waswahili wanasema fainali uzeeni,ukifika uzee mambo yako vizuri basi wewe unaweza kujigamba mbele za watu.
 
Pamoja mkuu
 
Nafahamu namna unajisikia hiyo hali nimewahi ipitia wakati nasoma dah sitaki hata kukumbuka ,pia kwasasa nina mdogo wangu nauuguza yaani hakuna rangi naacha kuona yaani mpaka msingi unakauka naona. Maisha hayana huruma wakuu shida yako ni yako.

Mimi nakuombea M/Mungu akutie nguvu mkuu naamini utafanikiwa
 
Kila mtu , kila familia na kila ukoo unachangamoto za kiuchumi.
Ulichotakiwa kufanya ni kuangalia uwezo wako wa kijeshi kabla hujaenda kupigana na jeshi jingine ili usije kushindwa njiani ukaonekana mpumbavu.
Ni busara za Yesu hizo sio mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…