Nahitaji msaada wa mawazo tafadhali, mpenzi wangu ana mimba

"ana sura mbaya, rangi siipendi, hana shepu"

And you claim that she is not critical? .
. Logic Yako wewe iko wapi? ... sijaona reason yako Bado inayofanya uwe na mchecheto
Si umeambiwa nyege hujaelewa? wanaume hatunaga akili nyakati hizo
 
Mkiambiwa mtulie hamsikii ila twende turudi nyuma haya mambo yasikie kwa mwingine yakikukuta ndio huwa unaona rangi zote za upinde
 
Tafuta hela babu nyege umalizie kwa mademu wazuri, hata ikitokea bahati mbaya watoto wasikulaumu.
 
Sasa nitakua na akili timamu kweli kuomba ushauri jf?
Hasa mahusiano?
Jf ya sasa ni sawa na Soko la BUGURUNI
We hebu tutake radhi we mtoto🤣🤣
 
Haya sasa bora ya mie ambaye hz vitu sijawahifanya, maana matukio yake ndo kama hayo sasa bro apo hauna namna.
 
Sasa kama uliziona hzi kasoro zote unazomtolea binadamu mwenzako ulilala nae wa nn aisee wanaume bna pambana na hali tu hakuna namna
 
Sasa wewe umewahi hata kushauri mtu?
Mtu anaomba ushauri anaambiwa hebu tuma picha😂
Umewahi ona picha ya tatizo?
Mie ushauri wangu kwani hujauona hapo juu🤣🤣🤣
 
Pole kwa stress na hongera sana baba kijacho.
Kama hukumpenda ulitakiwa kuwaza hilo la mimba, kama hukuweza kutumia ndom basi ungejitahidi kuzijua siku zake kama kaka yako DeepPond afanyavyo.

Mlee mwanao na ikibidi umuoe kabisa huyo binti. Mnawadis singo maza na nyie ndio wamiliki wa viwanda vya kuwachakata hao singo maza.
 
Ukiwa mfanyakazi ogopa Sana kwenda kavu mzee hata akisema ameweka kinga mm hata tupime na U.T.I siwezi enda kavu kwa mwanamke nisiye na malengo nae
 
Umejitangaza vizuri muanzisha 'sred' sijuajua kama umelijua hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…