Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 1,834
- 3,042
Mkuu hii issue ya tanesco kwa bajeti ya million mia kweli?Sikia fanya
1.tuwapindue tanesco.
2. Angalia china wanachokifanya then nawe kifanye, utanipa mrejesho.
Ni kweli kabisa ukiona mtu analeta idea na inaleta matokeo mazuri ujue mtu huyo nguvu kubwa ya kiroho watu hawa tunao wachache watu Hawa wao hawatafuti mafanikio wao huwa wanakamilisha mafanikioMim naonaga wanaongea, ila duh kuja na new idea ni issue nen
Sawa mkuu 🙏Nimetoka kidogo, ila nitakucheki
Yah kabsaa, afu mara nyingi ni kwenye issue za technology, kuna mbunge hapa tz aliwahi kusema kuwa hapa bongo mabilionea wetu wataishia kwenye uwekezaj wa vinywaji na vyakula na uchumi wa nyumba, ila technology agusi mtu😅😅Ni kweli kabisa ukiona mtu analeta idea na inaleta matokeo mazuri ujue mtu huyo nguvu kubwa ya kiroho watu hawa tunao wachache watu Hawa wao hawatafuti mafanikio wao huwa wanakamilisha mafanikio
😂😂😂😂 yah ni kweli mziki mtaji, ila n bonge la idea, niliwazaga ila sidhani kama itatimia.Mkuu hii issue ya tanesco kwa bajeti ya million mia kweli?
Kuna mambo kibao ya kufanya kama una millioni kumi hapo nikusaidie wazo litakalo kupeleka international hata bure😂😂😂😂 yah ni kweli mziki mtaji, ila n bonge la idea, niliwazaga ila sidhani kama itatimia.
Kuna mambo kibao ya kufanya kama una millioni kumi hapo nikusaidie wazo litakalo kupeleka international hata bure
Ni pmSoon nategemea kuipata, nipe wazo mkuu au ndo pm ?
Tiar mkuuNi pm
Niunganishe nae mkuuKuna mmoja aliulizia namna ya kuanzisha kiwanda cha simu!
Nadhani huyu anakufaa!
Mtaji wa 1 M hiyo siyo biashara mkuu,huo ni umachinga!,Hizo levo nishavuka!Toka dsm njoo kanda ya ziwa tufanye mkakati huku uje na 1 m tu.
Ngoja nipitie hili karabrasha mkuuChambua humo zimo fursa nyingi ni wewe tu.
Yes mkuu,Lete Ideas tugawane umasikiniMkuu cc wenyewe tunataka kuwa mabilionea 😂😅, au tugawane ubilionea kwa kukupa ideas afu tuwe wote?,,
Hii kitu ndo nataka mkuu,hebu fikiria namna ya kuacha kazi tuwekeze nguvu huko mkuuBahati mbaya mimi niko kazini serikalini mkuu,ningekuwa nimestaafu tungefanya kazi flani ila inabidi muda mwingi tuwe wote.
Ningekuleta kwenye biashara ya uyeyushaji chuma na kutengeneza vipuri mbalimbali vya viwanda vya kokoto,au viwandani(FOUNDRY)mimi ni mzoefu huko.
Tungenunua ,medium frequency induction furnace,kwa ajili ya kuyeyushia chuma,sema inahitaji muda mwingi kwenye utayarishaji mitambo..