Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Na hapa kama kuchezeshwa kachezeshwa pakubwaTatizo halichezi mwenyewe, anachezeshwa.
Hapa gambling mode on set.
Umezaliwa mwaka gani?Acha uongo wewe,kama wewe ulidanganywa,acha kuwadanganya wengine
Dotto Biteko
Alexander Mnyeti
Vipi amerudsha majeshi
Tumweke kwenye maombi huyu dingi.Majaliwa ni kama mke aliyeletewa mke mwenza.Pole Majaliwa.
Wacha ubishi kwa kitu usichokijuaAcha uongo wewe,kama wewe ulidanganywa,acha kuwadanganya wengine
Huyo mpuuze tu anabisha jambo asilolijuaUmezaliwa lini wewe!
Au ulianza lini kufuatilia siasa?
Kwa ujumla Katibu haina kifungu kinachoanzisha ofisi ya naibu Waziri Mkuu. Ni uvunjaji wa Katiba wa mamlaka na kukosa watendaji thabiti wa kushauri Rais.Acha uongo wewe,kama wewe ulidanganywa,acha kuwadanganya wengine
Mfuate kwake, unamtaka wewe na nani?Tunamtaka Makonda
Mbona amemtoa Angelina Mabula na Mary Masanja? Kwahiyo hiyo siyo hojaMkuu
Kazi ya kisayansi ya kitengo hiyo!!
Ameona kanda ile ni ya kimkakati anapaswa kufanya jambo!
Atapata uungwaji mkono pande zile!!
Harufu ya fdr hiyo!!
Kama tumethibitisha hakipo na hela yetu itatumika, katiba yetu inatuelekeza tufanye nini? Kama haina hayo maelekezo tufanyeje wadau?Hakipo ni matumizi mabaya ya katiba
Kwani wewe hujui kwamba Wasukuma wana akili zaidi?Hii ndo shida yako. Umekaa kikabila sana we mpuuzi
Lakini kutokana na maelezo ya great thinkers above the position is null and void and will cost us hugeIla Biteko ni mchapakazi na hana blaa blaa. Majaliwa pia ni mzuri. Kwa hiyo hakuna kitachoharibika.
Hebu rudia nisikie ???kwani katemwa??Bashe kakosea wapi,,ni mbolea au mahindi ya msaada ama kwenye madawa ya kilimo nijuzeni
Na hapa kama kuchezeshwa kachezeshwa pakubwa