King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Kama ni wa kuteuliwa sawa ila hata hao waliomteua ilitakiwa wawe na file lake ,wajue historia yake vizuri kama ni mzuri katika public speaking,vyeo kama hivyo vinataka mtu "MPAYUKAJI" mtu mwenye "TANTALILA NYINGI" kama walijua ni muoga muoga na wakemtua basi ni HATARI ipo siku watakuja kumteua KONKI PIERE LIKWIDI.Ubunge wa kuteuliwa yule.
Alikua anasema baraza la mapinduzi..according to wadau.so alikua anachapia,kila akirudia anachapia.Huyo atakuwa alipatwa na WENGE au Alipagawa au Aliashikwa na KITETE kikamuondolea confidence!! Swala la kutoona ni uongo mtupu! Maana maneno ni yale yale hata usiposoma utayakariri "MImi Francis NGUMALU naapa kwamba nitakuwa mtiifu kwa jamhuri ya muungano wa tanzania na sitotoa siri za baraza la mawaziri ehee mwwnyezi mungu nisaidie" hapo inahitaji kusoma kweli???
Je tunaweza pata cv ya mheshimiwa?
Hahahahaah UCHAWI UPO.Alikua anasema baraza la mapinduzi..according to wadau.so alikua anachapia,kila akirudia anachapia.
Alisema,,,eeee,ndiyo,hiyo hiyo mliyoitaja.Kuna mtu ana PHD lakini alishindwa kutamka "Entrepreneurship"akaishia kusingizia eti si lazima msomi kujua Kiingereza. Sa mbona huyu kashindwa kuapa kutokana na wasiwasi anafukuzwa? Uonevu tu![emoji15][emoji15][emoji15]
Ha ha ha, unaweza kuwa sahihi.Jambo dogo lakini limeanzishiwa nyuzi kibao! Hii inaasiria kuwa watu wengi (nchini) wana misongo ya mawazo, kikitokea kitu kidogo tu wanapata fursa ya kutapika
Intapritinyua.....kwa kiswahili mnaita ujasiriamali.Kuna mtu ana PHD lakini alishindwa kutamka "Entrepreneurship"akaishia kusingizia eti si lazima msomi kujua Kiingereza. Sa mbona huyu kashindwa kuapa kutokana na wasiwasi anafukuzwa? Uonevu tu![emoji15][emoji15][emoji15]
Karogwa sio bureKama ana imani ya kishirikina atasema amerogwa
Alikua anasema baraza la mapinduzi..according to wadau.so alikua anachapia,kila akirudia anachapia.
Hivi tatizo ni kutokujua kusoma au kutetemeka na uoga?Habari wakuu
Leo nimeona kituko ambacho sio cha nchi hii ,hadi mimi niliekuwa naangalia nimeona aibu
How comes,mtu unashindwa kuaapa tena kwa kiswahili ,mbaya zaidi mtu kasoma ana master's ya science
Hadi mheshimiwa raisi kasema hio degree yake ichunguzwe, huenda hata hivyo vyeti ni fake
TAMISEMI angalien mfano wa mh raisi, mnamwaibisha sana, yale majina hewa ya walimu mliyoyatoa nasema hivi ipo siku tu mtakula matapishi yenu.
Ninaiman kabisa tamisemi mkiambiwa mkalete Wale watu mlioajiri na vyeti vyao orginal kuanzia secondary mpaka chuo kikuu, hawana Wale watu
Mh raisi pita tamisemi, narudia tena pita tamisemi kuna wahuni ambao hawajitambui wanaendesha hio taasisi, mpaka watanzania wanaichukia nchi yao.
Uzi tayar
Muwafundishe watoto wenu jinsi ya kujiamini