Arudi kuomba msamaha wale wana vijiji aliowadhulumu haki zao kwenye sanduku la kura kwanza kabla ya yoteMimi siamini kama hajui kusoma vizuri.
Dunia ina mengi,tumuombe Mungu atuongoze.
Kama nafasi ni yake naamini ataipata tu,hiyo roho ya kukataliwa iliyomvaa iishie mbali.
Btw nimeumia Sana kwa ajili yake.
Hii hapaJe tunaweza pata cv ya mheshimiwa?
Usifikirie tu ndumba. Dhuluma pia huleta laana. Wabunge hawa wa mwaka huu, wengi wao wamepatikana kwa kudhulumu haki za wengine. Dhuluma ilianzia kwenye chaguzi za ndani mpaka uchaguzi mkuu wenyewe.Ndumba nazo huwa zinahusika mkuu.usimshangae huyo jamaa
Mheshimiwa cv yake ipo vizuri sijui nini kimempataHii hapa
Ushirikina tu paleHakuamini Kama ni yeye kweli anayeapishwa.
Uchawi upo.nakuhakikishia.M
Mheshimiwa cv yake ipo vizuri sijui nini kimempata
Mambo my dearest..! Link ya kutizama yakiyotokea kwa Ndulane iko wapi nione ..! SijaionaMimi siamini kama hajui kusoma vizuri.
Dunia ina mengi,tumuombe Mungu atuongoze.
Kama nafasi ni yake naamini ataipata tu,hiyo roho ya kukataliwa iliyomvaa iishie mbali.
Btw nimeumia Sana kwa ajili yake.
Angalia you tube utaonaMambo my dearest..! Link ya kutizama yakiyotokea kwa Ndulane iko wapi nione ..! Sijaiona
Kinachoangaliwa ni utendaji au uwezo wakuapa?
Kwa kweli ni huruma kwake na familia yakeIla huruma Aisee mtu mzima kushindwa kutamka maneno uliyozoea kuongea kila leo..!!dah
Mbona huyu hajafanikiwa?Uchawi upo.nakuhakikishia.
Bwege kamfanya mtu kuwa bwegeDunia duara ukifikiri Sana utalia kila Mara, mheshimiwa Ndulane amekuwa mhasibu Tanroads zaidi ya miaka 10, amekuwa mkurugenzi wa mji wa ifakara, amekuwa Kiongozi wa mpira Lindi na Morogoro, amekuwa mjumbe wa TFF ktk kamati ya fedha na uongozi na amesafiri na Taifa Stars zaidi ya Mara 4,leo ameshindwa kuapa kurasa moja,hii ndiyo Dunia,tunatakiwa kutafakari kwa kina kabla ya kumhukumu
Leo mkewe hatomwelewa kabisa yaani alishajua anakuwa mke wa waziri halafu mume kaharibu😄!
Anyways shit happens
Labda kapita bila kupingwaAliwezaje kuomba kura jimboni kwake yule