Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

Mimi siamini kama hajui kusoma vizuri.
Dunia ina mengi,tumuombe Mungu atuongoze.

Kama nafasi ni yake naamini ataipata tu,hiyo roho ya kukataliwa iliyomvaa iishie mbali.

Btw nimeumia Sana kwa ajili yake.
Arudi kuomba msamaha wale wana vijiji aliowadhulumu haki zao kwenye sanduku la kura kwanza kabla ya yote
 

Attachments

  • IMG-20201209-WA0111.jpg
    IMG-20201209-WA0111.jpg
    41.6 KB · Views: 3
Mimi siamini kama hajui kusoma vizuri.
Dunia ina mengi,tumuombe Mungu atuongoze.

Kama nafasi ni yake naamini ataipata tu,hiyo roho ya kukataliwa iliyomvaa iishie mbali.

Btw nimeumia Sana kwa ajili yake.
Mambo my dearest..! Link ya kutizama yakiyotokea kwa Ndulane iko wapi nione ..! Sijaiona
 
Huyo jamaa atajuta mkulu atamnanga kila opportunity atakayopata! Na kuna uwezekano asipate tena cheo tena ndani ya awamu hii.
 
Leo mkewe hatomwelewa kabisa yaani alishajua anakuwa mke wa waziri halafu mume kaharibu😄!

Anyways shit happens
 
Dunia duara ukifikiri Sana utalia kila Mara, mheshimiwa Ndulane amekuwa mhasibu Tanroads zaidi ya miaka 10, amekuwa mkurugenzi wa mji wa ifakara, amekuwa Kiongozi wa mpira Lindi na Morogoro, amekuwa mjumbe wa TFF ktk kamati ya fedha na uongozi na amesafiri na Taifa Stars zaidi ya Mara 4,leo ameshindwa kuapa kurasa moja,hii ndiyo Dunia,tunatakiwa kutafakari kwa kina kabla ya kumhukumu
Bwege kamfanya mtu kuwa bwege
 
Back
Top Bottom