Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

Nilisema Saidi Bagaile hajakubali matokeo yuko chimbo anataka kupindua meza kibabe
 
Kuna mtu ana PHD lakini alishindwa kutamka "Entrepreneurship"akaishia kusingizia eti si lazima msomi kujua Kiingereza. Sa mbona huyu kashindwa kuapa kutokana na wasiwasi anafukuzwa? Uonevu tu![emoji15][emoji15][emoji15]
Utafanyaje kazi bila kuapa? Kashindwa kusoma
 
Madhara ya kupita bila kupingwa, unapewa majibu ya mtihani still bado siku ya mtihani umeshindwa kuyatumia
 
Siamini kuwa hajui kusoma,kikubwa ni kupanic au kuna michezo ya ushirikina kachezewa na maadui zake,ni matumaini yangu Mh.raisi ataweza kubatilisha maamuzi yake kama itagundulika kuwa si tatizo la elimu yake...
Dah..
Sipati picha maadui wake saa hizi wanavyoPOP UP CHAMPAIGNE..
 
Kuna mtu ana PHD lakini alishindwa kutamka "Entrepreneurship"akaishia kusingizia eti si lazima msomi kujua Kiingereza. Sa mbona huyu kashindwa kuapa kutokana na wasiwasi anafukuzwa? Uonevu tu![emoji15][emoji15][emoji15]
Wewe ni mpumbavu wa chadema wa kiwango cha lami
 
Kuna mtu ana PHD lakini alishindwa kutamka "Entrepreneurship"akaishia kusingizia eti oooh!si lazima msomi kujua Kiingereza. Sa mbona huyu kashindwa kuapa kutokana na hofu anafukuzwa? Uonevu tu![emoji15][emoji15][emoji15]
Na wewe unarudia rudia ili iweje ??
 
Kama mtu anakuwa muoga kwa watanzania wenzie, anashindwa kuapa (yaani kusoma Kama ilivyoandikwa tena kwa kiswahili). Je wakija wazungu ataweza kuongea nao

Watu huwa wanamshangaa jiwe akiogopa kwenda ulaya, ni kwamba anajua fika akiongea na wazungu atachemsha.
 
Ukiona Mkulu anawachagua wakina Gekul, Silinde, Patrobas, Waitara n.k ambao hapo awali walikuwa upande wa upinzani na kuwaacha makada wengi kindakindaki wa CCM, basi pengine ujue walio wengi wao ndiyo wa mfano wa huyu.

Lakini wapo bado wakina Polepole, Makamba, Mpina, Makonda, Kigwangala n.k ambao wanaweza kuokota dodo kiulaini na kuchukua nafasi ya huyu kada aliyeaminiwa.

Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
 
Yaaah nilimaanisha mmewe.

Daa huyu maza aisee
Ni mwanababa kashindwa kusoma. Mwanamama alikuwa anakosea anataja mapinduzi..karudia kusoma mara 3. Rais kamsifia kuwa ana uzalendo wa hali ya juu hadi neno mapinduzi limemkaa kichwani
 
Nchi hii inaendeshwa kihuni sana na watu wengi wa namna hii ni vile tu huyu baharia mwenzetu kateleza eneo. Aibu sana.
 
Habari wakuu

Leo nimeona kituko ambacho sio cha nchi hii ,hadi mimi niliekuwa naangalia nimeona aibu

How comes,mtu unashindwa kuaapa tena kwa kiswahili ,mbaya zaidi mtu kasoma ana master's ya science

Hadi mheshimiwa raisi kasema hio degree yake ichunguzwe, huenda hata hivyo vyeti ni fake

TAMISEMI angalien mfano wa mh raisi, mnamwaibisha sana, yale majina hewa ya walimu mliyoyatoa nasema hivi ipo siku tu mtakula matapishi yenu.

Ninaiman kabisa tamisemi mkiambiwa mkalete Wale watu mlioajiri na vyeti vyao orginal kuanzia secondary mpaka chuo kikuu, hawana Wale watu

Mh raisi pita tamisemi, narudia tena pita tamisemi kuna wahuni ambao hawajitambui wanaendesha hio taasisi, mpaka watanzania wanaichukia nchi yao.

Uzi tayar
Hata yule dada wa UVCCM kule Dodoma alishindwa kuomba kura akabaki kuita "ccm oyee"

Dhambi ya kuiba kura za UPINZANI na kuwatesa, kuwabambikia kesi
 
Najaribu kuvaa viatu vyake vinanipwaya, sote ni binadamu hatujui kipi kitatukuta dakika moja mbele. Ila kitendo cha kutetemeka na kushindwa kula kiapo ni suala ambalo halikutakiwa kuchukuliwa haraka mpaka kumtumbua mhusika. Naona kabisa kama vile kuna Mtu amekurupuka.

#We're the world.
 
Umechanga madesa mkuu. Mwanamama ni naibu waziri wa fedha alikuwa anakosea anasema mapinduzi, karudia mara 3.
Wa madini kashindwa kusoma kabisa ni Kama alikuwa anaona giza
Ahaa basi sawa, naona nilitoka nikamiss hiyo ya huyo wa viwanda, nikadhani ni yule mama ndio katumbuliwa.
 
Sijapenda tabia ya mh jiwe, yani kushindwa kuapa unamvunjia mtu heshima?? Unamtumbua bila huruma😐
 
Back
Top Bottom