SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Nilisema Saidi Bagaile hajakubali matokeo yuko chimbo anataka kupindua meza kibabe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utafanyaje kazi bila kuapa? Kashindwa kusomaKuna mtu ana PHD lakini alishindwa kutamka "Entrepreneurship"akaishia kusingizia eti si lazima msomi kujua Kiingereza. Sa mbona huyu kashindwa kuapa kutokana na wasiwasi anafukuzwa? Uonevu tu![emoji15][emoji15][emoji15]
Yani mkuu kushindwa Kuapa ndo kazi huna tena??
Dah..Siamini kuwa hajui kusoma,kikubwa ni kupanic au kuna michezo ya ushirikina kachezewa na maadui zake,ni matumaini yangu Mh.raisi ataweza kubatilisha maamuzi yake kama itagundulika kuwa si tatizo la elimu yake...
Wewe ni mpumbavu wa chadema wa kiwango cha lamiKuna mtu ana PHD lakini alishindwa kutamka "Entrepreneurship"akaishia kusingizia eti si lazima msomi kujua Kiingereza. Sa mbona huyu kashindwa kuapa kutokana na wasiwasi anafukuzwa? Uonevu tu![emoji15][emoji15][emoji15]
Walipewa na jiwe.Wote wale ni Wabunge wa tumeZaidi ya 50% ya wabunge wa ccm hawakushinda uchaguzi, bali walitangazwa tu washindi.
Na wewe unarudia rudia ili iweje ??Kuna mtu ana PHD lakini alishindwa kutamka "Entrepreneurship"akaishia kusingizia eti oooh!si lazima msomi kujua Kiingereza. Sa mbona huyu kashindwa kuapa kutokana na hofu anafukuzwa? Uonevu tu![emoji15][emoji15][emoji15]
Kama mtu anakuwa muoga kwa watanzania wenzie, anashindwa kuapa (yaani kusoma Kama ilivyoandikwa tena kwa kiswahili). Je wakija wazungu ataweza kuongea nao
Ni mwanababa kashindwa kusoma. Mwanamama alikuwa anakosea anataja mapinduzi..karudia kusoma mara 3. Rais kamsifia kuwa ana uzalendo wa hali ya juu hadi neno mapinduzi limemkaa kichwaniYaaah nilimaanisha mmewe.
Daa huyu maza aisee
[emoji3][emoji3]Mimi nadhani jamaa amefanya makusudi hataki hiyo nafasi akaamua kuyavurunda ili atemwe!
Hata yule dada wa UVCCM kule Dodoma alishindwa kuomba kura akabaki kuita "ccm oyee"Habari wakuu
Leo nimeona kituko ambacho sio cha nchi hii ,hadi mimi niliekuwa naangalia nimeona aibu
How comes,mtu unashindwa kuaapa tena kwa kiswahili ,mbaya zaidi mtu kasoma ana master's ya science
Hadi mheshimiwa raisi kasema hio degree yake ichunguzwe, huenda hata hivyo vyeti ni fake
TAMISEMI angalien mfano wa mh raisi, mnamwaibisha sana, yale majina hewa ya walimu mliyoyatoa nasema hivi ipo siku tu mtakula matapishi yenu.
Ninaiman kabisa tamisemi mkiambiwa mkalete Wale watu mlioajiri na vyeti vyao orginal kuanzia secondary mpaka chuo kikuu, hawana Wale watu
Mh raisi pita tamisemi, narudia tena pita tamisemi kuna wahuni ambao hawajitambui wanaendesha hio taasisi, mpaka watanzania wanaichukia nchi yao.
Uzi tayar
Hatari sanaOn the spot
Ahaa basi sawa, naona nilitoka nikamiss hiyo ya huyo wa viwanda, nikadhani ni yule mama ndio katumbuliwa.Umechanga madesa mkuu. Mwanamama ni naibu waziri wa fedha alikuwa anakosea anasema mapinduzi, karudia mara 3.
Wa madini kashindwa kusoma kabisa ni Kama alikuwa anaona giza
Chuoni alipresent vipi research yake ya masters?Hawa ndo wale wa kubebwa..
Cheo unapewa kulipa fadhila sio kwa uwezo ulionao
Haya sasa huyu waziri anatetemeka hivi Kuapa,kwenye majukumu itakuaje?