Naishi na Mwanamke Nisiemfahamu, Nahitaji Namna Nzuri ya Kumuacha

Nikwambie bro wala usimfukuze huyo mke umeletewa na Mungu kwa njia ya ajabu.! Wewe cha kufanya muulize kwao muishi kwa amani, halafu acha kumix datting app na social media. Nna uhakika huyo mdada mmekutana Fb 🀣🀣🀣

Halafu na wewe umempenda ndiomana ukampiga na shopping ya viwalo. Ww ni mtu mwema sana na mpole.!! Pls usimfukuze mama wa watoto wako.
 
Dadekii mtakuja paramia majini kelebuu..

Mwambie umepata safari ya kikazi hivyo kesho unasafiri na utafunga nyumba yako hadi mwezi ujao.
Bon voyage..!
Atamsubiri kwani anakaa huko huko mpk kifo chake?? 🀣
 
Mpaka nguo umenunua kupika anakupikia na hana makuu mpole mstaarabu Sasa ubasubiri Nini?

Kipengele kitakachokusumbua maisha Yako n Dating app
Huyo wake aoe, amuache akutane na vivuruge km hajamkumbuka
 
Uhuru huoatikana kwa njia mbili
1. Active approach
2. Passive approach
Chagua kati ya hizo ila nakushaur chagua active approach hainaga mawaaa
 
Akili za watu wa sku hizi zinatia mashaka
 
Nasubiri jibu na mie, [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mdau kanijibu kuwa ni special Apps,tena kaitaja Badoo.

Hii App nimeisikia sana,tena pia nimesikia na mengine zaidi,kuwa ni app ambayo watu wengi wanaojiuza huutumia.

Sasa kwa context hiyo Sina uhakika kama ni sahihi kumpata mwenza wa maisha huko. Tena mkikaa pamoja na kuanza kufikiria mlipokutana kuwa ni huko,Kila mmoja anaweza kumhisi mwenzie vibaya kuuwa anarudi rudi huko kutafuta mwenza mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…