Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Ila zikiwa nzuri Ni za jumla jamani ama. Binadamu bana hapendi negative ama zero yeye Ni positive tuAcha udhalilishaji,
Tabia ya mtu mmoja usijumlishe na wengine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila zikiwa nzuri Ni za jumla jamani ama. Binadamu bana hapendi negative ama zero yeye Ni positive tuAcha udhalilishaji,
Tabia ya mtu mmoja usijumlishe na wengine
Karibu mdogo wangu
Mpaka kifo kitutenganisheUshanusurika mkuu!! Poleni...sasa mnaendelea kuvumilia mpaka kifo kiwatenganishe
Hao ndiyo bure kabisa "Nimepewa bure nami natoa bure"Kwa hiyo ndo una una rest in peace mkuu.jitahidi upone ..nakutafutia mchumba wa kusini
Lakini hukukemea kule kwa wasukuma ila hapa unakereka, daaah...! Unafki ni kipaji [emoji87]Moderator wa JamiiForums sijui kwa nini mnaruhusu mada za kutunga za kuchafua kabila au jamii ya watu fulani
Huyu member kaanzisha ten mada nyingine akiwatukana wasukuma, sijui mnafanya kazi gani
Hili jukwaa limekua na utoto mwingi sana
Watamu balaaAcheni dada zetu wapumue, na ni watam balaa
Kwani una nini? ..maana hujaeleza kitu. Usikute una bodaboda 2 tu unamsingizia mtoto wa watu. Ukioa mchaga lazima ujue katufuta pesa. Sio una vihela unafikiri una pesa.Sina haja ya kuwasilimia hata kidogo aisee hawa maduu kutoka Kanda ya kaskazini sio poa kabisa nusura nipigwe kipapai kwa maana niuliwe kisa mali aisee nyie wabara mnawezaje kuishi nao hilo kabila?sio poa kabisa.
Yaani ni hivi Kuna duuu mmoja nilikutana nae pale old moshi tukabadilisha contact,tumesiliana kama wiki mbili hivi ndipo nikaomba shoo nikapiga baada ya hapo nikaenda kutambulishwa ili niende kuoa kumbe yule binti na wazazi wake ni wachaga aisee ila nikaona kujitoa ni udhaifu nikapambana nikamuweka ndani.
Baada ya kumuweka ndani kilichonitokea siwezi kusahau kwanza picha imeanza nimewekea sumu kwene chakula aisee siwezi endelea maana hapa nilipo nalia tu siwezi endelea hata kidogo.
Wachaga mungu anawaona acheni roho ya hivyo Kuna maisha baada ya kifo hizi mali zinapita tu 😢 😭 😿 😢 😭
😢 😭 😿 😢 😭 😿 😢 😭 😿
Imagine mwenye mali zake na vi-emoji wapi na wapiSasa na naomba link kati ya kuwekewa sumu na Mwanamke na wewe mwanaume kutumia hizo emoji za vipaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya sawa 😃 😀 😄Huu mwandiko sio wa mtu mwenye mali.
Namaanisha mali.
Msinipopoe mi napita tu, hata simu janja ni mali
Anadai alioa ili asionekane 'dhaifu' huyu jamaa mjinga sana 😂😂Mchakato wako wa kuoa wa kishamba sana brooh nakusihi tumia akili Sana katika decision making yaani kiss kula mzigo tu unavutwa ukwwni na wanadai ndoa na wewe unaona sawa TU !!
KUWA MAKINI SANA KATIKA SUALA LA KUOA USIKURUPUKE WALA USIKURUPUSHWE UKAKURUPUSHIIKA !!
[emoji120][emoji120][emoji120]
Badala upambane, unaanza kulia. Mkeo kaona kama anaishi na mwanamke mwenzake ndiyo maana anataka kukupoteza.Sina haja ya kuwasilimia hata kidogo aisee hawa maduu kutoka Kanda ya kaskazini sio poa kabisa nusura nipigwe kipapai kwa maana niuliwe kisa mali aisee nyie wabara mnawezaje kuishi nao hilo kabila?sio poa kabisa.
Yaani ni hivi Kuna duuu mmoja nilikutana nae pale old moshi tukabadilisha contact,tumesiliana kama wiki mbili hivi ndipo nikaomba shoo nikapiga baada ya hapo nikaenda kutambulishwa ili niende kuoa kumbe yule binti na wazazi wake ni wachaga aisee ila nikaona kujitoa ni udhaifu nikapambana nikamuweka ndani.
Baada ya kumuweka ndani kilichonitokea siwezi kusahau kwanza picha imeanza nimewekea sumu kwene chakula aisee siwezi endelea maana hapa nilipo nalia tu siwezi endelea hata kidogo.
Wachaga mungu anawaona acheni roho ya hivyo Kuna maisha baada ya kifo hizi mali zinapita tu 😢 😭 😿 😢 😭
😢 😭 😿 😢 😭 😿 😢 😭 😿
Hapa sasa mkuu unawapa sifa wanawake wa kichaga ama unawakandia?Kwani una nini? ..maana hujaeleza kitu. Usikute una bodaboda 2 tu unamsingizia mtoto wa watu. Ukioa mchaga lazima ujue katufuta pesa. Sio una vihela unafikiri una pesa.
Women value strength in men they desire. They already have a pussy they don’t want to deal with another one.Sina haja ya kuwasilimia hata kidogo aisee hawa maduu kutoka Kanda ya kaskazini sio poa kabisa nusura nipigwe kipapai kwa maana niuliwe kisa mali aisee nyie wabara mnawezaje kuishi nao hilo kabila?sio poa kabisa.
Yaani ni hivi Kuna duuu mmoja nilikutana nae pale old moshi tukabadilisha contact,tumesiliana kama wiki mbili hivi ndipo nikaomba shoo nikapiga baada ya hapo nikaenda kutambulishwa ili niende kuoa kumbe yule binti na wazazi wake ni wachaga aisee ila nikaona kujitoa ni udhaifu nikapambana nikamuweka ndani.
Baada ya kumuweka ndani kilichonitokea siwezi kusahau kwanza picha imeanza nimewekea sumu kwene chakula aisee siwezi endelea maana hapa nilipo nalia tu siwezi endelea hata kidogo.
Wachaga mungu anawaona acheni roho ya hivyo Kuna maisha baada ya kifo hizi mali zinapita tu [emoji22] [emoji24] [emoji80] [emoji22] [emoji24]
[emoji22] [emoji24] [emoji80] [emoji22] [emoji24] [emoji80] [emoji22] [emoji24] [emoji80]
Peace in not an optionSina haja ya kuwasilimia hata kidogo aisee hawa maduu kutoka Kanda ya kaskazini sio poa kabisa nusura nipigwe kipapai kwa maana niuliwe kisa mali aisee nyie wabara mnawezaje kuishi nao hilo kabila?sio poa kabisa.