Najuta kuoa mwanamke kutoka Kanda ya Kaskazini

Moderator wa JamiiForums sijui kwa nini mnaruhusu mada za kutunga za kuchafua kabila au jamii ya watu fulani
Huyu member kaanzisha ten mada nyingine akiwatukana wasukuma, sijui mnafanya kazi gani
Hili jukwaa limekua na utoto mwingi sana
Lakini hukukemea kule kwa wasukuma ila hapa unakereka, daaah...! Unafki ni kipaji [emoji87]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Naona hapa kuna vita inatafutwa dhidi ya Waisrael
 
Mchakato wako wa kuoa wa kishamba sana brooh nakusihi tumia akili Sana katika decision making yaani kiss kula mzigo tu unavutwa ukwwni na wanadai ndoa na wewe unaona sawa TU !!

KUWA MAKINI SANA KATIKA SUALA LA KUOA USIKURUPUKE WALA USIKURUPUSHWE UKAKURUPUSHIIKA !!

[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Sina haja ya kuwasilimia hata kidogo aisee hawa maduu kutoka Kanda ya kaskazini sio poa kabisa nusura nipigwe kipapai kwa maana niuliwe kisa mali aisee nyie wabara mnawezaje kuishi nao hilo kabila?sio poa kabisa.

Yaani ni hivi Kuna duuu mmoja nilikutana nae pale old moshi tukabadilisha contact,tumesiliana kama wiki mbili hivi ndipo nikaomba shoo nikapiga baada ya hapo nikaenda kutambulishwa ili niende kuoa kumbe yule binti na wazazi wake ni wachaga aisee ila nikaona kujitoa ni udhaifu nikapambana nikamuweka ndani.

Baada ya kumuweka ndani kilichonitokea siwezi kusahau kwanza picha imeanza nimewekea sumu kwene chakula aisee siwezi endelea maana hapa nilipo nalia tu siwezi endelea hata kidogo.

Wachaga mungu anawaona acheni roho ya hivyo Kuna maisha baada ya kifo hizi mali zinapita tu 😢 😭 😿 😢 😭

😢 😭 😿 😢 😭 😿 😢 😭 😿
Kwani una nini? ..maana hujaeleza kitu. Usikute una bodaboda 2 tu unamsingizia mtoto wa watu. Ukioa mchaga lazima ujue katufuta pesa. Sio una vihela unafikiri una pesa.
 
Anadai alioa ili asionekane 'dhaifu' huyu jamaa mjinga sana 😂😂
 
Badala upambane, unaanza kulia. Mkeo kaona kama anaishi na mwanamke mwenzake ndiyo maana anataka kukupoteza.
 
Kwani una nini? ..maana hujaeleza kitu. Usikute una bodaboda 2 tu unamsingizia mtoto wa watu. Ukioa mchaga lazima ujue katufuta pesa. Sio una vihela unafikiri una pesa.
Hapa sasa mkuu unawapa sifa wanawake wa kichaga ama unawakandia?
 
Sina haja ya kuwasilimia hata kidogo aisee hawa maduu kutoka Kanda ya kaskazini sio poa kabisa nusura nipigwe kipapai kwa maana niuliwe kisa mali aisee nyie wabara mnawezaje kuishi nao hilo kabila?sio poa kabisa.

Yaani ni hivi Kuna duuu mmoja nilikutana nae pale old moshi tukabadilisha contact,tumesiliana kama wiki mbili hivi ndipo nikaomba shoo nikapiga baada ya hapo nikaenda kutambulishwa ili niende kuoa kumbe yule binti na wazazi wake ni wachaga aisee ila nikaona kujitoa ni udhaifu nikapambana nikamuweka ndani.

Baada ya kumuweka ndani kilichonitokea siwezi kusahau kwanza picha imeanza nimewekea sumu kwene chakula aisee siwezi endelea maana hapa nilipo nalia tu siwezi endelea hata kidogo.

Wachaga mungu anawaona acheni roho ya hivyo Kuna maisha baada ya kifo hizi mali zinapita tu [emoji22] [emoji24] [emoji80] [emoji22] [emoji24]

[emoji22] [emoji24] [emoji80] [emoji22] [emoji24] [emoji80] [emoji22] [emoji24] [emoji80]
Women value strength in men they desire. They already have a pussy they don’t want to deal with another one.
 
Sina haja ya kuwasilimia hata kidogo aisee hawa maduu kutoka Kanda ya kaskazini sio poa kabisa nusura nipigwe kipapai kwa maana niuliwe kisa mali aisee nyie wabara mnawezaje kuishi nao hilo kabila?sio poa kabisa.

Yaani ni hivi Kuna duuu mmoja nilikutana nae pale old moshi tukabadilisha contact,tumesiliana kama wiki mbili hivi ndipo nikaomba shoo nikapiga baada ya hapo nikaenda kutambulishwa ili niende kuoa kumbe yule binti na wazazi wake ni wachaga aisee ila nikaona kujitoa ni udhaifu nikapambana nikamuweka ndani.

Baada ya kumuweka ndani kilichonitokea siwezi kusahau kwanza picha imeanza nimewekea sumu kwene chakula aisee siwezi endelea maana hapa nilipo nalia tu siwezi endelea hata kidogo.

Wachaga mungu anawaona acheni roho ya hivyo Kuna maisha baada ya kifo hizi mali zinapita tu [emoji22] [emoji24] [emoji80] [emoji22] [emoji24]

[emoji22] [emoji24] [emoji80] [emoji22] [emoji24] [emoji80] [emoji22] [emoji24] [emoji80]
Peace in not an option
20221209_055723.jpg
 
Back
Top Bottom