Najuta kwa mara nyingine kuwa na mahusiano na mke wa mtu

Mimi kupigiwa siwezi maana siji kukaa kufanya ujinga unaoitwa kuoa. Kama ni demu ninane na demu sio wa mtu mmoja tuna share.

She's not yours, It's just your turn.
Seems u still underage....kua uyaone
 
Umeandika mengi ila hili uliloliweka mwisho ndio lilipaswa kuwa la kwanza;

''Nimegundua mme wake pia ni mtu wa safari kama mimi tu na yupo kitengo fulani na nammudu vizuri kabisa, hivyo hawezi kuwa tishio kwangu hata kidogo''

Hapo ndio penye tishio.
 
Uzuri heaven and hell iko hapa hapa, malipo yako unayapata hapa hapa
 
Kumbuka kila mla cha mwenziwe na chake pia huliwa! Nawe mke wako ataliwa kama ulavyo wa mwenzio!!
 
Mbona madem kibao tu mpaka upapalikie wake za watu bro??

Kama ulipita na bado una tamaa nae basi uwe unapasha kiporo tu na sio kua na mahusiano nae, hao wanawake sio wa kuwaamini utaja pigwa pipe kijana.
 
Seems u still underage....kua uyaone
Underage overage beyondage whatever, i don't give a f*ck. Kila mtu na tabia zake na misimamo yake.

Do not commit logical fallacies. Why would you think that everyone must do what others do while it's a matter of choice?

Do people have free will? Are we rational? Kila mtu ataua kwasababu kuna binadamu wanaua? SMH

Huwaga mnanikera sana nyie watu wa namna hii. Eti kuwa uyaone.
 


Kabisa !

Maana mke wa mtu atakudai umlipie kodi ya nyumba ya vipi sasa kwa mfano?!

Ukimnunulia Gari inabidi mpige hesabu kali kwanza zikae Sawa.

Labda awe anafanyakazi na aseme amekopa!

Pia uhusiano huo huwa ni stress free hauna too much demanding.

Some ladies hawajuagi tu kuwa kila mara unapomwabia Mwanaume wako nataka hiki sina hiki na kile huleta msongo wa mawazo kwa Mwanaume.

Ndio maana baadhi ya mahusiano ni utumwa mtupu na kutumika kwingi.

Wenye mapenzi ya kweli ni wachache sana!
 
Na kadiri unavyomhonga anajua unazo nyingi na ndio atazidi kukuletea mahitaji chungu nzima yake, ya watoto wakufikia, na ndugu zake [emoji108][emoji108]

Kwa hiyo endelea kujifanya chimwaga aka tupatupa lakini ujue utazikumbuka! [emoji4][emoji4]
 
Kilakitu ni maelewano...kama mmeelewana hakuna shida
 
Achana na hizo issues hazitakuwa na faida ya maana,hapo ni hasara tu ndugu yangu ndo utapata...
 
Nimegundua mme wake pia ni mtu wa safari kama mimi tu na yupo kitengo fulani na nammudu vizuri kabisa, hivyo hawezi kuwa tishio kwangu hata kidogo.[emoji15][emoji3064][emoji15][emoji3064][emoji848][emoji29]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…