Namna ya kujilinda na kuwa salama unapokuwa Bar

Bado Empire nyegezi watu watakuja kuana
 
Sasa hapo unaenda bar au vitani? Mbona tactics nyingi sana?
Kuna sehemu kiwanja Dodoma inaitwa Bambalaga mwanzoni ilikua hauingii kama upo upo tuu hata kama upo full loaded na millions, naona sasa hivi wamelegeza yeyote tu anaingia.
Nenda the Bistor ukale maisha
 
Kuna demu alipigwa kisu cha kifuani kisesa sijui alipona daah hapo mwanza
 
Nimesoma tips zote zilizotolewa..in short ili uende bar za kibongo lazima uwe unajua ngumi kidogo (hapa inabidi upitie mafia boxing wakupike kidogo), ni lazima ujue kukimbia (hapa Kipchoge na Simbu wanahusika), ni lazima uwe na silaha yoyote (sielewi labda upite JKT au mgambo), uende Bar wanayokufahamu (inatabidi ukareport na kujitambulisha Bar zote za Tz maana kuna siku utasafiri nje ya mkoa wako ambako hawakujui), pale bar inabidi ujue Chocho zote za kutorokea endapo kitanuka (uwe CIA au FBI, kwa kifupi mpelelezi..kazi ipo), uache tip kwa mabaunsa (inabidi uwe unatembea na kibubu)... kwakifupi tu hakuna haja tena ya kwenda Bar maana sio sehemu salama tena!!!
 
11. Usizoee bar moja, badilisha bar. Usizoeleke bar.
Sasa wewe ndio utafanywa kibudu siku ikikutokea huna pesa. Bora bar moja ili ikitokea hela imeisha wanajua hata kesho utaleta. Kimedani zaidi mgeni akiingia tu unaanza kumnusa na kumfuatilia na kujihami, isije ikawa walewale
 
Ni sahihi Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…