Namshauri Lissu akitoka aachane na siasa. Aungane na CCM ale pesa umri umeenda

Anajua kwanini yupo hapa duniani, na anakiishi kilichomleta.....
 
Kwahiyo we umejificha nyuma ya keyboard hutaki kutoka jasho hata kidogo ukiitwa kwenye maandamano hutaki kwenda alafu unataka Lissu aendelee kukaa mahabusu?
 

Enzi za ukoloni Babu zetu wangekuwa na akili za kijinga kama za kwako,ungekuta hadi Leo hii hatujapata uhuru
 
Enzi za ukoloni Babu zetu wangekuwa na akili za kijinga kama za kwako,ungekuta hadi Leo hii hatujapata uhuru
Ndio maana nasema lissu anapigania wajinga Sasa wewe Kwa huo umri hujui hata tanzania ilipewa uhuru bandia haikuwahi kupigania uhuru kweli kazi ipo
 
Ila sometimes ukituliza akili kuna hasira flani unapata kuona mtu kama Lissu anawekwa ndani bila sababu. Ukiwa na akili timamu kuna kahasira flani unakua nako moyoni sema ndo hivyo huna cha kufa...
 
Usiseme kitaongoza milele mimi naamini kama sio sisi basi vizazi vyetu vitawaondoa hawa jamaa
 
Yaani wakati yupo gerezani watanzania wako busy na simba na yanga mara hatuchezi, mara mwekezaji. Lissu apumzike achukue ajira hata huko Mamtoni. Awaache CCM wazidishe shida mpaka machawa waanze kutekwa na kupotea kama wanaokosoa serikali. Hapo ndio wananchi wataamka. Ila kwa sasa uwezo wetu wa kuvumilia shida kwa kigezo cha uzalendo bado upo.
 
Kabisa mkuu
 
Katika wajinga anaowapigania lissu ni wewe mpaka Leo unamuona Nyerere ni mtu wa maana kumbe ndio mshenzi namba Moja kazi ipo
Mjinga ni wewe ambaye kuandika hujui.Nchi hii Kuna wajinga hadi kero.
 
Kweli hujitambui pesautakwenda nayo kaburini ? Wacha akombie watu Je Mandela kafa na hela? But anakumbukwa
 
Ungekua mtoto au ndugu wa lissu usingeandika huu ujinga
Don't force a person to act against his conscience. Hata angekuwa Baba yangu ana conscience yk si maamuzi nayo.

This man is Remnant hata kama Mimi na wewe tumepotoka yeye amebaki kukomboa( remnant ni wachache sana). Wajinga na wapumbavu wanahitaji ukombozi na si wale wazima.
 
Ndio maana nikasema lissu anapambania wajinga mpaka Karne hii mnamuona Nyerere alikua na akili kumbe ndio mjinga namba Moja kazi ipo
Nyerere mjinga ni baba wa taifa lako, ameacha alama njema ya kudumu duniani. Wewe mwerevu ni nani? Umeifanyia nini Tanzania na dunia kwa ujumla?
 
Nyerere mjinga ni baba wa taifa lako, ameacha alama njema ya kudumu duniani. Wewe mwerevu ni nani? Umeifanyia nini Tanzania na dunia kwa ujumla?
Mimi nimeshabadilisha uraia wa taifa la wajinga Mimi sio mtanzania siwezi kuwa na baba mjinga kama Nyerere
 
Mimi sio mtanzania nimeshabadili uraia siwezi kuwa kwenye taifa la wajinga
 
Hakuna chama cha kuitoa CCM madarakani isipokuwa CCM yenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…