Namtamani nikiwa na hamu naye lakini baada ya hapo namchukia

Ni kweli unamchezea mtoto wa mama mkwe😁,,,ana haki zote za kulalamika maana unamtumia kama jeki tu kipindi tairi ikipata pancha😁
 
Lamomy

Pengine labda hajakukuna vzr .... Siku akiku... Hutataka akae mbali na wewe
 
Jamaa atakuwa anapewa penzi la luku😂 mamaey. Yani demu akiwa kwenye heat ndio anatoa mzigo.
 
Gran pah umeongea kitu hadi nimeshikwa na goosebumps.
Uko sahihi pia.
 
Bro niko serious leo nishauri. Hii kitu inanitesa sana..!!
Kumbe Evelyn Salt ni bro?!😂
Nionavyo mimi kwako Lamomy, huyo mshkaji hujampenda wala hujavutiwa nae bali huna mbadala kwasasa ndiomana unamtumia kama kipoozeo. Akitokea jamaa mwengine ukamuelewa naona utamtukana huyo kipoozeo wako kwanini ni king'ang'anizi. Usiupoteze muda wake bure kama unaona kihisia hautabadirika juu yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…