Ukipigwa picha ukiwa mlevi utafurahia?Unalea upuuzi wewe
Huwezi kumkuta mtoto wa Bosi wako amelewa then unashadadia kumpiga picja za kuziposti,
Mfano: Huwezi kumpiga picha mtoto wa Samia akiwa mlevi na kuziposti huko ni kukosa adabu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukipigwa picha ukiwa mlevi utafurahia?Unalea upuuzi wewe
Soma ulichoandikaKUNA MTOTO WA MKUU FULANI HAJIONYESHI KABISA ANAITWA MANSA (...........), NAOMBA WAINGIE CHA KILE KWAKE, PIA NAOMBA KATIKA SCENERIO ASIJITAMBULISHE MPAKA MWISHO WA SCENE.
Kujitambulisha naona kama ni ushamba fulani.
Utoto unaishia umri wa miaka 18 baada ya hapo wewe ni mtu mzima na unamaamuzi yako ambayo hayawezi kuingiliwa na mtu yeyote yule, lete kesi mimi nitakusubiri mahakamani kesho Jumatatu asubuhi.Kwanza nianze kwa kukiri ya kuwa pamoja ya kuwa Mimi ni mtu mzima, na mtoto wa Askari polisi aliyetukanwa sijapokea na kumsamehe Joji Simbachawene.
Siwezi msamehe Mh Waziri Simbachawene kamwe na Sitofanya hivyo maana Baba yangu mzazi amefedheheshwa sana sana sana sana mbele ya macho ya umma.
Siwezi kubali hakika ya kuwa Baba yangu atukanwe kwani yeye ndiye aliyenizaa Mimi Nina hakika ila sio sana maana mwenye hiyo hakika ni mama yangu.
Ila nimeamua kwenda mbele zaidi baada baba kurudi nyumbani kimefanyika kikao kizito cha kujadili ilihali wa baba yetu aliyetukanwa, Ili kudhibitisha yakuwa sio kweli tusi alilotukanwa na sisi tu wanae.
Katika kikao hicho tumekubaliana yafatayo.
Kwanza watoto wote tufanyiwe vipimo vya DNA testing.
Pili Ikibanika tu Wana wa baba mmoja basi baba atukubalie sisi tufungue kesi dhidi ya Simbachawene kwa malezi yake mabaya kwa vijana nguzo ya Taifa hili.
Niliwahi jiuliza Kwanini mwendazake aliwahi mwambia Simbachawene yakuwa hakuwa Ikulu kuuza sura? Sasa naanza pata majibu.
Wanaopigwa picha ni watu wa aina gani ndugu yangu wakiwa wamefanya kosa.? Kwa sababu yeye ni mtoto wa rais amefanya kosa asipigwe picha kwa upuzi wake kisa ni mtoto wa rais.Ukipigwa picha ukiwa mlevi utafurahia?
Huwezi kumkuta mtoto wa Bosi wako amelewa then unashadadia kumpiga picja za kuziposti,
Mfano: Huwezi kumpiga picha mtoto wa Samia akiwa mlevi na kuziposti huko ni kukosa adabu!
Wewe hapa unatulisha matango pori. Ukiangalia video ya kwanza pale pale kwenye tukio alijitambulisha kua ni mtoto wa simbachawen. Na askari walikuwepo. Na video ya pili Yuko polisi. Na hapo bado alikua hajamalizana na wale waliogongewa magar YaoMapya yaibuka
Kumbe jamaa askari waliomba rushwa ya laki moja , baadae wakashuka hadi elfu hamsini tena walimuomba kwa vitisho lakini akagoma, baadae aliposema Baba yake ni fulani ni waziri ndio wakastuka wameingia choo cha kike wakamgeuzia kibao.
Askari wetu nao njaa zimezidi ndio maana wanatukanwa tu matusi ya wazi wazi.
Kwa nini waombe rushwa kwanza?
Kitendo tu cha kuendesha gari akiwa kalewa kinaufanya utetezi wake wowote usiwe na mashiko.Mapya yaibuka
Kumbe jamaa askari waliomba rushwa ya laki moja , baadae wakashuka hadi elfu hamsini tena walimuomba kwa vitisho lakini akagoma, baadae aliposema Baba yake ni fulani ni waziri ndio wakastuka wameingia choo cha kike wakamgeuzia kibao.
Askari wetu nao njaa zimezidi ndio maana wanatukanwa tu matusi ya wazi wazi.
Kwa nini waombe rushwa kwanza?
hakika polisi sio wa kuwaamini wanawapora wafanya biashara wa dhahabu kisha kuwauwa alafu wanasema wamerushiana risasi n majambazi sugu na kufanikisha kuwauwa.Siwezi kuwa upande wa polisi hata siku moja, hakuna watu wana roho mbaya kama polisi wa bongo, hakunaaa....
Jiulize kwanini yeye!?GTs,
Kama tulivyoona kijana wa Mh. Simbachawene alivyoingia kituoni halafu kuna askari akamchoza kwa tusi. Je, hiyo ni sahihi? Je, ni kweli alitukana na je, ndiyo njia sahihi ya askari kufanya kazi?
Je, haki za kijana wa Mh. Simbachawene zilifuatwa, au alitishiwa na hao askali ili atoe rushwa ila baada ya hao askali kujua ni mtoto wa kiongozi, ikabidi wamrekodi na kumchokoza ili akasirike warekodi na kumdhalilisha?!
Naamini jeshi la polisi litafanya uchunguzi ili kubaini hasa kitu gani kilitokea. Maana hao askari inaonekana walijipanga kuhakikisha dogo wana mdhalilisha.
Na kibaya walilenga kumdhalilisha Mh. Simbachawene, na huyo kijana inaonekana ni mtu mwenye heshima na anajitambua ila hao askari walimtengenezea mazingira baada ya kuona wamekosea ili kujikosha kwa jamii. Ila mtindo wa askari ndiyo huo kudhalilisha na kusumbua ili wapate rushwa.
Bdo unazipenda kengele zako??if not kashtakiKwanza nianze kwa kukiri ya kuwa pamoja ya kuwa Mimi ni mtu mzima, na mtoto wa Askari polisi aliyetukanwa sijapokea na kumsamehe Joji Simbachawene.
Siwezi msamehe Mh Waziri Simbachawene kamwe na Sitofanya hivyo maana Baba yangu mzazi amefedheheshwa sana sana sana sana mbele ya macho ya umma.
Siwezi kubali hakika ya kuwa Baba yangu atukanwe kwani yeye ndiye aliyenizaa Mimi Nina hakika ila sio sana maana mwenye hiyo hakika ni mama yangu.
Ila nimeamua kwenda mbele zaidi baada baba kurudi nyumbani kimefanyika kikao kizito cha kujadili ilihali wa baba yetu aliyetukanwa, Ili kudhibitisha yakuwa sio kweli tusi alilotukanwa na sisi tu wanae.
Katika kikao hicho tumekubaliana yafatayo.
Kwanza watoto wote tufanyiwe vipimo vya DNA testing.
Pili Ikibanika tu Wana wa baba mmoja basi baba atukubalie sisi tufungue kesi dhidi ya Simbachawene kwa malezi yake mabaya kwa vijana nguzo ya Taifa hili.
Niliwahi jiuliza Kwanini mwendazake aliwahi mwambia Simbachawene yakuwa hakuwa Ikulu kuuza sura? Sasa naanza pata majibu.
Polisi wetu ni waongo waongo mno, hii ni kwa sababu hao hao ndiyo walitaja pombe na kumsukumizia tusi na kumbuka kwa mujibu wa dogo walitaka pia kumpiga. Ila nina kuhakikishia hao polisi hawana kazi watafukuzwa, wamezoea kubambika watu kesi na kidhalilisha, kulikuwa na haja gani kimdhalilisha dogo kwa ajili ya rushwa??? Hawajui wanasababisha usumbufu kwa serikali?Kitendo tu cha kuendesha gari akiwa kalewa kinaufanya utetezi wake wowote usiwe na mashiko.