Namtetea mtoto wa Simbachawene, askari wachunguzwe

Unalea upuuzi wewe
Ukipigwa picha ukiwa mlevi utafurahia?
Huwezi kumkuta mtoto wa Bosi wako amelewa then unashadadia kumpiga picja za kuziposti,
Mfano: Huwezi kumpiga picha mtoto wa Samia akiwa mlevi na kuziposti huko ni kukosa adabu!
 
KUNA MTOTO WA MKUU FULANI HAJIONYESHI KABISA ANAITWA MANSA (...........), NAOMBA WAINGIE CHA KILE KWAKE, PIA NAOMBA KATIKA SCENERIO ASIJITAMBULISHE MPAKA MWISHO WA SCENE.
Kujitambulisha naona kama ni ushamba fulani.
 
Acha bangi, waziri kakukosea nini? Mtieni adabu huyo dogo, si yuko chini ya ulinzi?
 
Akafungue mashtaka ya kuomba rushwa akiwa amelewa na yeye ahukumiwe kwa kutukana jeshi la polisi. Mambo ya mm mtoto wa waziri hapana.
 
KUNA MTOTO WA MKUU FULANI HAJIONYESHI KABISA ANAITWA MANSA (...........), NAOMBA WAINGIE CHA KILE KWAKE, PIA NAOMBA KATIKA SCENERIO ASIJITAMBULISHE MPAKA MWISHO WA SCENE.
Kujitambulisha naona kama ni ushamba fulani.
Soma ulichoandika
 
Utoto unaishia umri wa miaka 18 baada ya hapo wewe ni mtu mzima na unamaamuzi yako ambayo hayawezi kuingiliwa na mtu yeyote yule, lete kesi mimi nitakusubiri mahakamani kesho Jumatatu asubuhi.
Samahani, mama yako alikuwa na macho.......! Maana umetia wasiwasi kuwa huyo afande huenda si dadii yako isipokuwa mama yako ndiye anayejua!
 
Ukipigwa picha ukiwa mlevi utafurahia?
Huwezi kumkuta mtoto wa Bosi wako amelewa then unashadadia kumpiga picja za kuziposti,
Mfano: Huwezi kumpiga picha mtoto wa Samia akiwa mlevi na kuziposti huko ni kukosa adabu!
Wanaopigwa picha ni watu wa aina gani ndugu yangu wakiwa wamefanya kosa.? Kwa sababu yeye ni mtoto wa rais amefanya kosa asipigwe picha kwa upuzi wake kisa ni mtoto wa rais.

Ebu kuwen siriasi. Kwenye mambo ya msingi. Hii issues ingekua kwa wenzetu wanaojielewa ingemuondoa simbachawen ofisin. Tatzo huku kwetu viongozi ni miungu watu. Na wakifanya la maana sana kuibua huu uovu.

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Kumbukeni kuna tozo kiboa za kukera, sasa hivi waTanzania mtasahaulisha na hili sakata...
 
Wewe hapa unatulisha matango pori. Ukiangalia video ya kwanza pale pale kwenye tukio alijitambulisha kua ni mtoto wa simbachawen. Na askari walikuwepo. Na video ya pili Yuko polisi. Na hapo bado alikua hajamalizana na wale waliogongewa magar Yao

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Kitendo tu cha kuendesha gari akiwa kalewa kinaufanya utetezi wake wowote usiwe na mashiko.
 
Siwezi kuwa upande wa polisi hata siku moja, hakuna watu wana roho mbaya kama polisi wa bongo, hakunaaa....
hakika polisi sio wa kuwaamini wanawapora wafanya biashara wa dhahabu kisha kuwauwa alafu wanasema wamerushiana risasi n majambazi sugu na kufanikisha kuwauwa.
 
Jiulize kwanini yeye!?
 
Imenilazimu nitafute video,kwa jinsi nilivyoona hii hali ni hatarishi sana huko mbele kwa hawa watoto wa viongozi ambapo wananchi ndo tumewapa wazazi wao dhamana ya kutuongoza,hebu jaribu kuwaza kidogo hii hali ingekuwaje mtoto wa mtu wa kipato cha kawaida kafanya hivi (japokuwa hakuna haki ya mtu yoyote kufanya kosa).

Nilochoelezea hapo ni maoni ambayo hayapo sambamba na uzi huu
 
Bdo unazipenda kengele zako??if not kashtaki
 
Kitendo tu cha kuendesha gari akiwa kalewa kinaufanya utetezi wake wowote usiwe na mashiko.
Polisi wetu ni waongo waongo mno, hii ni kwa sababu hao hao ndiyo walitaja pombe na kumsukumizia tusi na kumbuka kwa mujibu wa dogo walitaka pia kumpiga. Ila nina kuhakikishia hao polisi hawana kazi watafukuzwa, wamezoea kubambika watu kesi na kidhalilisha, kulikuwa na haja gani kimdhalilisha dogo kwa ajili ya rushwa??? Hawajui wanasababisha usumbufu kwa serikali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…