Nani ana akili kuliko wote JF?

Salute
 
Mbona hao Watu wako hawakuja na Ugunduzi / Ubunifu wa Mtandao huu / kama huu wa JamiiForums?

Kwa mfano Wewe mwenyewe tu unabishana nami hapa kupitia Mtandao walioubuni Wao sasa Wewe na Wao nani ni 'Genius' hasa?
Kati ya aliyegundua waya na aliyetengeneza computer, yupi ana akili nyingi?
 
Maxence Melo na Mwenzake Mike Mushi kwani bila Juhudi zao, Akili zao na Ubunifu wao wa Kutukuka leo hii kusingekuwepo na hili Jukwaa ( Jamvi ) linalotupa Kiburi na Kutujenga Kifikra hadi Kimtazamo wengi Wetu.

Pongezi zangu nyingi sana tu Kwao.
Hawa si walengwa, hawa wana nafasi zao za kipekee, kinachozungumzwa hapa ni member mwenye akili jf, hawa hawamo kwenye kundi la members
 
Wakali ni wengi sana siwezi kutaja but sincerely speaking you all nourish my life dear comrades. JF ibarikiwe sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…