Sijawahi kuwaza kwamba kuna member ambaye anaweza kuwa kipanga in general lakini natambua kwamba humu ndani kuna vichwa ni msaada mkubwa sana katika field zao so kwa upande fulani ni magenious lemme appreciate them:
Wa kwanza ni
CHIEF MKWAWA huyu jamaa kwenye masuala ya Information technology yupo juu sana hakuna tatizo ambali hana solution nalo ni msaada mkubwa sana kwa watu
Kwenye field ya magari na vyombo vya usafiri kuna ndugu yangu
Extrovert na jamaa yangu
JITU LA MIRABA MINNE
Binafsi
Pascal Mayalla Humble African @Da'vinci na yule jamaa kwenye jukwaa la international forum anayechambua Silaha huwa nawachukulia magenious kwa mtindo fulani hivi bila kusahau
Mshana Jr na
LIKUD..Halafu kuna mwamba anaitwa
Nguruvi3 nae naweza kumuweka kama genious...@Scars nae naweza kumuweka kwenye list ingawa si muanzishaji wa thread sana ila michango yake nae imejaa nondo nikiendelea kuwakumbuka watu nitaupdate comment..Ila hata mimi ni genious lakini sio kwa jamii forums maana nikiri wazi jamiiforums imenifanya nijue vitu vingi sana yaan mada yoyote itakayoanzishwa sehemh nilipo basi ntakuja na nondo kali sana na hii yoe ni kutokana na Jf,kwenye vijiwe vya kahawa wananikubali kinoma lakini hii ni kutokana na mchangi wa jamiiforums,hata Melo nilishwahi kumwambia hii tulipokuwa tunachati facebook