Hiyo
Hiyo Koka ingetinga kwako...
 
Maneno mazito sana haya. !
Mwenye masikio na asikie !!!
Time is running out 🙏🙏
 
JAMIIFORUM UNAPATA KILA KITU WALLAHI KHAY

NILISOMA HAIFIKI POPOTE TUNAPOTEZEANA MUDA

LEO YUKO FREE NAPITATU
 
Kwa hiyo polisi wanaacha wajibu wao kwa sababu tuu CDM wameingilia?! Kwanza CDM wanawezaje kuingilia polisi hadi waachane na uchumguzi? Si haohao polisi waliwahi kutamka hadharani kwamba "watapigwa kipigo cha mbwa koko hadi Wachakae"? Leo waachane uchumguzi kwa sababu zipi?
Mleta mada wewe ni pumbavu, baada ya Serikali kutelekeza watu waliofanyiwa ukatili huko Babati kwa maslahi ya chama tawala ndo mnatafuta pa kujificha.?
 
mahakama imetenda haki kwa mujibu wa sheria

sioni shida yoyote
 

Sawa mwita waitara. Naona Sasa unatapatapa huna pa kushikilia.
 
Hivi hawakugeuzi kweli wewe jamaa maana una mambo ya kidemu sana
 
Nilisema humu it will be a walk in the park for Gekul kuna watu wakabisha.

Nilimhurumia kijana ila ndio vile tena alikua anadili na majambazi hawezi kupata haki.
 
sasa ukikata rufaa kesi anaendesha nani upande wa Jamuhuri na DPP emekaa pembeni ?😁

na Hashimu alifuata nini huko ?

kwanza nani ana ka video tuone Hashimu alikutana na kisanga gani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…