Nani kaiona chupa ikiwa kwenye makalio? Daktari kathibitisha? Wanasiasa kuweni makini na hila za mitandaoni

Usaliti ni laana
 
Sexless upo pamoja nami dada Una maono
 
Kama ili kuthibitisha kosa kosa Hilo ni mpaka tuwe na ushahidi wa mtu aliyeona chupa ikiwa matakoni basi watu wengi wanaofanyiwa ukatili wa kingono kama ubakaji wangeshindwa kuthibitisha kuwa wametendewa unyama Huo .

kwani most cases unakuta hakuna aliyeona...ila ushahidi mwingine unaonesha kuwa ni kweli mhanga Fulani ametendewa kitendo hicho.
 
Hapana mkuu. Kesi nyingi za ubakaji huwa zinafeli kwa kukosa ushahidi. Ili mahakama imtie mtu hatiani ni lazima kisu (uume) kionekane kikiwa kwenye ala (uke) ama daktari akute manii(shahawa ) ndani ya uke na hizo shahawa baada ya kipimo cha DNA zithibitike kuwa ni za mtuhumiwa. Vinginevyo hakuna kesi hapo.

Kwahiyo usidanganywe
 

View: https://www.youtube.com/watch?v=NQc0-S0gQyw
 
Siamini kama hizi tuhuma zimetengenezwa,
Nahisi mmetengeneza chats ili kumsafisha Gekul, Binadamu kama Wanyama.

Weka na tarehe ya Chats ili kudhibitisha kua amesingiziwa!!!
Unafikiri tuko humu kukushawishi? Kwa kipi ulichonacho? endelea kauamini unachoamini ila wape ruhusa na wenzanko waamini wamachoamini mwisho wa siku Mungu ataamua
 
Ila hata mimi tangu siku ya kwanza nilihisi kuna mchezo mchafu umefanyika kwenye hili sakata. Nakumbuka nilishambuliwa sana na baadhi ya vibaraka wa Bashite.

Kimsingi hili sakata limejaa utata mwingi. Na lina kila dalili ya kutengenezwa kiustadi na kitaalam kabisa ili kumnasa huyo mwanamama msaliti.
 
sasa yale mahojiano kijana akiwa hana suruali maana yke nini? mpelekee mwambegele , Mugasha ndio wanajua kufinyanga ukweli, haki na sheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…