Nani kaiona chupa ikiwa kwenye makalio? Daktari kathibitisha? Wanasiasa kuweni makini na hila za mitandaoni

Shutuma ni kali sana mitandaoni dhidi ya Gekul, na hata rais ametengua uteuzi wa Gekul kwenye nafasi ya unaibu waziri.
Mada yako ikomee hapa hapa.

Kama unaweza kuamini hadi huyo Rais achukue hatua alizochukua..., hii nchi bado tutaluwa tunaamini kwamba ni taifa miongoni mwa mataifa yenye heshima?

Hayo mengine yote uliyo orodhesha hapo ndio kwanza leo nayasikia; lakini pia niliwahi kusikia hadithi za akina Tundu Lissu wakimiminiwa risasi na wenzao, kati yao akiwa Mwenyekiti wake wa chama, ambaye baadae ndiye kawa mstari wa mbele kuokoa maisha yake.

Tumesikia hadithi nyingi za akina Abdul Nondo wakijipoteza na vimada wao. Akina Chongolo, na wengi wengineo.

Huyo Gekul, ni kweli alikamatwa akitaka kutorokea nchi ya jirani, kwa nini atoroke?
 
Ndipo sasa ninawaonya wanasiasa kuwa wawe makini na hila hizi.
Mstari unao onyesha wewe mwenyewe huna umakini wowote.

Hila zinafanywa na hao hao wana siasa hadi kutaka kutupeleka utumwani tena kama taifa, halafu leo wewe unakuja hapa na kuwataka wao wawe makini?

Vyanzo vyote vya uharibifu kila mahali vinatoka wapi kama siyo kwa hao hao wanasiasa?
 
Ulitaka nani awe shahidi wa kwanza zaidi ya yule aliyefanyiwa hicho kitendo? Mtuhumiwa hajakanusha ata pale alipotafutwa na waandishi wa habari. Polisi walimpa huyo kijana PF3 akatibiwe ugojwa gani kama hakuumizwa huko makalioni? W
Wewe ni nani kuhoji wakati yeye kanyamaza?
 
Kabisa ingekua anavyodai mtuhumiwa wa ubakaji angesema nani kaona ukuni ukiwa ....
 
yaani kijana kaingizwa chupa alafu anatembea kikakamavu kabisaa akati huko mtaani jamaa wanawapiga wenza wao au michepuko yao mishedede ya nyama tu halafu waathirika hawawez hata kutembea au kukaa wanabebwa mzobemzobe hadi hospital.

Anaingizwa chupa halafu anapuyanga mjini kama kawa?
 
Kuna baadhi ya wahusika niliwauliza Hili swali.
 
Hujiulizi kwanini matukio mengine rais hakuchukua hatua ila Gekul kachukua hatua? Usiwe mj.n.a urais ni taasisi anapewa taarifa zote
 

Tumekupata kaka yake na Gekul
 
Mleta mada usingeandika huu uzi wako umekaa kichoko Sana. Unayejaribu kumtetea kakuzidi kila kitu., Halafu Mahakama ndiyo itatafsiri haki siyo wewe. Kula kwanza utulize akili.
Point of correction...

Mahakama inatafsiri Sheria, siyo Haki.
 
Polisi walisema Mbowe na wenzake watatu(3) watakata miti kuanzia Dar mpaka Iringa na kuitandaza barabarani, siku hiyo sijui magari wangewezaje kuyazuia yasiingie barabarani! Walifutiwa kesi.
 
Kwa maneno yako hayo, Rais Samia amefanya maamuzi ya kukurupuka baada ya kusikia maneno ya umbea mtaani? Kwamba serikali yake na vyombo vyake havina weledi hivyo havikumpa taarifa sahihi kabla ya kufanya maamuzi!!!
 
πŸ‘πŸ‘πŸ™πŸŽ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…