Nani kaiona chupa ikiwa kwenye makalio? Daktari kathibitisha? Wanasiasa kuweni makini na hila za mitandaoni

Kwa maneno yako hayo, Rais Samia amefanya maamuzi ya kukurupuka baada ya kusikia maneno ya umbea mtaani? Kwamba serikali yake na vyombo vyake havina weledi hivyo havikumpa taarifa sahihi kabla ya kufanya maamuzi!!!
kuwajibika au kuwajibishwa hakusubiri ukweli au uongo bali kulinda na kuhifadhi hadhi na weledi wa Taasisi ....

muhisika angekua yuko chonjo na ethics za political leadership hangekawia kuwajibika. Check watu makini the like of chongolo.....

Baba wa Taifa aliwahi kusema haiwezekani wewe ni mtumishi wa umma halafu tunaskia au tunakuona unarandanda mtaani huko na malaya halafu tukuache.....

Therefore,
Haijalishi ni kweli au si kweli, madhila tuhuma zina kuhusu wewe binafsi na sio jukumu ulilotumwa kufanya kwa maslahi mapana ya nchi alipaswa kuwajibika mwenyewe.

Kwasababu zinaweza kupaint Taasisi badly kwenye jamii bila sababu. Lazima uwajibike na ukichelewa unanawajibishwa....
Hakuna serikali inaweza kukumbatia tuhuma za uovu binafsi za mteule wake...

ukihamisha point nahama na wewe mpaka uelewa na ufaidike maana ya masomo yangu
 
Hilo Ndio kosa alifany Paulina,angepunguza sana mzigo alinao kama angewahi kujiulizulu! Pengine ingemsaidia siku za usoni kurejea kwenye Siasa( najua amesha onja utamu)
Hata hivyo huyu ni Ng'ombe wa Magufuli aliyekatwa mkia! Acha aonje chungu ya Siasa! Naye aliwaliza wengi sana Kwa isaliti wake!
 
Umenadika ujinga
 
uko sawa kabisa,
na hakua na back up yeyeote ndani ya chama wala serikali...

Ni kweli kabisa ngeachia ngazi mwenyewe mapema angepata faida huko mbeleni
 
Siwezi kukataa wala kukubali. Ila visa vya namna hii ni vingi sana katika jamii na taifa kwa ujumla.

Fikra zako ni sahihi sana. Palikuwa na umuhimu wa kuchunguza angalau kwa siku 2 au zaidi kwa kutumia vyombo vua usalama tulivyovisomesha vingetoa jibu sahihi kabla ya kuhitimisha kwa utenguzi.

Tukana unavyotaka, lakini wengi wamehukumiwa kwa kusikiliza upande mmoja, baadaye ikathibitika wameonewa.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
NA huyo imma wa crdb nae vile vitisho vyake vya kuua navyo wamesingiziwa???inaonyesha hii familia ni makatili na imecement hata hizo allegations za dada yake
 
Mungu ajawahi kosea, unajuaje labda ni kinyume na unavyoodhani na waanga wakawa wanatendewa mabaya sema wanasiasa ndio wanaficha kwa nguvu ya pesa na umaarufu wao?
 
Mleta mada alitaka chupa ibandikwe na super glue kabisa ili kila mtu athibitishe
 
Si kweli kabisa
 
Kuna mahali na wakati katika jamii ya watu wa Babati, ambapo Paulina Gekul hakutenda haki. Jamii ya watu wa Babati wamefika stage wamechoka naye, wakamuazimia na wameshamtia doa lisilifutika kwa urahisi.

Kama wanasiasa, watatenda haki na haki itakapoonekana kutendeka katika jamii, hakutakuwa na tuhuma za mchongo. Paulina ameharibu sana kumfanyia huyo kijana unyanyasaji wa kiwango kile. Au tuseme amejimaliza mwenye kwa kuwafanyia watu maovu yaliyopelekea yeye kutengenezewa skendo ya kumuondolea nguvu ya ushawishi chanya katika jamii.

Hakuna atakayemsafisha Gekul endapo mahakama haitomtia hatiani. Wanasiasa wajifunze kuishi na wapiga kura wao vizuri ili wasiwatengenezee maskendo.
 
Kwa ujumla kanda ya kasikazini sio rafiki kwa wanasiasa

Majungu ni mengi kuliko uhalisia

Sielewi Wana kasikaz huwa wanataka nini
 
Sexless upo pamoja nami dada Una maono
Kumbe ni dada? Anataka alone chupa ikiwa kwenye makalio ya kijana. Mbona watu wanafungwa kwa kubaka wakati hutuoneshwi jamaa akiwa kwenye naniliuuuu kama ushahidi mahakamani? Huyu ni binti wa hovyo. Mmewe kapata hasara.
 
Acha kutumika vibaya kesi iko polisi tulia majb yatapatikana tu
 
Ni rahisi kuamini zile audio clip za kutishia za huyo dogo wa Pauline Gekul kuliko kuamini sms hizi ktk screenshot.
Huyo Pauline wa CHADEMA Babati Hana akili kiasi hicho aweze kutengenezea kashifa kwa Gekul lakini anashindwa kujua SMS kwenye matukio kama hayo ya blackmail na money extortion zinaweza kuwa ushahidi utakao mfunga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…