Nani kaiona chupa ikiwa kwenye makalio? Daktari kathibitisha? Wanasiasa kuweni makini na hila za mitandaoni

Kila kitu kinawezekana labda alifanya au hakufanya
Haki atapata mahakamani
 
Umenena, tatizo viongozi wenye mamlaka wanapaswa kutofautisha Kati ya hila/majungu na ukweli.
 
Una hoja mkuu.

Watanzania ni wafuata mkumbo na HienaHiena.

Suala liko Polisi tayar lakib wao wanakazana kwa lalamiko la mtu mmoja.

Na wanakaza shingo kama walikuwepo eneo la tukio
 
Unachekesha saana, kama ni kuwajika au kuwajibishwa kwa tuhuma tu, Samia asingekaa kufikiria kumteua Makonda kwenye nafasi yoyote ile ya utumishi wa umma au chama. Kuna double standards!!? Hatuna utamaduni huo kaka achana na nadharia.
 
Vile vikao vya CCM Mkoa viliishia wapi!? Kwa vyovyote vile CCM wanaogopa Uchaguzi ! Ukiitisha Uchaguzi Leo BABATI lazima wajiandae kuiba kuliko walivyofanywa 2020!
 
Mlivyomuwekea chupa mlimuamuru atembee nayo mitaani?
 
Shetani mkubwa wee!
 
Usiitumie haki yako ya kuwa MPUMBAVU vibaya? Hivi unadhani wewe unaweza kuwa na taarifa sahihi juu ya tukio hasa la Gekul zaidi kuliko Rais Samia?

Au wewe ni timu safisha upumbavu huku mtandaonii? Au ndio wale mnaotumia Kodi zetu vibaya?
 
gape imetengenezwa ana hotel tayari mtaji wa kutosha apishe na wengine waokote, Rais hawezi kukurupuka kmtengua kama watu wake hawajalifanyia kazi, Rais hawezi kuwa na nongwa na mwanamke mwenzie.
 
Kwa hiyo hutaki kumuamini mhusika aliyesema kawekewa chupa makalioni au
 
NA huyo imma wa crdb nae vile vitisho vyake vya kuua navyo wamesingiziwa???inaonyesha hii familia ni makatili na imecement hata hizo allegations za dada yake
Una uhakika ni Emmanuel Gekul ndiye aliyekuwa anaongea hayo maneno? Kuna comedians wengi waigiza sauti za watu ndugu yangu. Usiharakie kuhukumu.
 
Hoja za Kipumbavu TU,mtu amemtoa malalamiko kinachotakiwa ni kuthibitisha malalamiko siyo kubeza malalamiko
 
Mleta mada alitaka chupa ibandikwe na super glue kabisa ili kila mtu athibitishe
Hapana. Nimesema daktari kapimq kakuta Kuna chupa iliingizwa makalioni? Au ni mbambamba za mitandaoni tu?
 
Una uhakika ni Emmanuel Gekul ndiye aliyekuwa anaongea hayo maneno? Kuna comedians wengi waigiza sauti za watu ndugu yangu. Usiharakie kuhukumu.
Ni kweli kuhukumu sio jambo zuri siku zote tuache vyombo vya uchunguzi vifanye kazi
 
Inabidi uingiziwe wewe hiyo chupa kwenye tundu lako la nyuma ili ujue ubaya wa alichokifanya Gekul. Unadhani Rais anakurupuka tu kumtumbua mtu? Kwa mfano unawezaje kumtetea Kigwangala aliyewarusha kichura watu wazima hadharani? Kigwangala aliyeteketeza kodi za wananchi kutengeneza sanamu feki ya Nyerere unamteteaje? Wewe Sexless waombe mods waufute huu uharo ulioandika.
 
Usiitumie haki yako ya kuwa MPUMBAVU vibaya? Hivi unadhani wewe unaweza kuwa na taarifa sahihi juu ya tukio hasa la Gekul zaidi kuliko Rais Samia?
Rais yupi?? Huyu huyu mwenye mihemko? Aliyemtimua Dr. Bashiru kwa mihemko kwamba kapora fedha BoT na kwamba alikuwa anapanga njama za kupinga asipewe urais halafu baadaye akamuomba radhi alipoujua ukweli?

Rais huyu huyu aliyyemteua Makonda makalio makubwa wakati maovu yake yanajulikana mpk na wamarekani?

Tuna rais kilaza haijawahi kutokea
 
Rais hawezi kukurupuka kmtengua kama watu wake hawajalifanyia kazi, Rais hawezi kuwa na nongwa na mwanamke mwenzie.
Rais yupi?? Huyu huyu mwenye mihemko? Aliyemtimua Dr. Bashiru kwa mihemko kwamba kapora fedha BoT na kwamba alikuwa anapanga njama za kupinga asipewe urais halafu baadaye akamuomba radhi alipoujua ukweli?

Rais huyu huyu aliyyemteua Makonda makalio makubwa wakati maovu yake yanajulikana mpk na wamarekani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…