Nani wa kumfungia kiongozi wetu Speed Governor? Nchi itapigwa mnada hii

Mama anaenda kukopa hela kwa jina la nchi kama anaenda kukopa vikobaa kila siku nchi za watuuu..hela zinapoenda hazionekanii kabisaa.. miaka mitatu hakuna kipya kafanya hata vile vya magufuli kashindwa kuviendeleza zaidi ya kuu miradi aliyoikutaa leo mwendokasi inakufaa..sgr haina dalili hata ya kuanza kazi...bima toto akaua umeme nao ovyoooo ovyoo BANDARI AKAONA AUZEE KABISA aisee huyu akipewa miaka mingine mitano tutauzwaa pamoja na watoto zetu.
 
Hao wakopeshaji nao hawana fikra,

Mwizi anakopeshwaje sasa,

Ukimpa tu hizo pesa, nenda kasome Ripoti ya CAG mwaka ujao uone madudu!!
wakipewa madini na bandari wao hawaiwahusuu yani kwa mpaka sasa hatukopeshekii walahiii bado kwend a kukopa kenya tu
 
Tungekuwa na Jeshi linalojitambua lingeikomboa nchi maana kwa mfumo haramu wa uchaguzi waliojiwekea sanduku la kura halina uwezo wa kuiponya nchi. Wajeda nao ndiyo hivyo makamanda wao ni makada watiifu wa hawa watesi wetu.
Nchi gani ilifanya mapinduzi ya kijeshi hapa Afrika na ikapiga hatua kimaendeleo? Hao wajeda nao ni binadamu kuna majeda vilaza pia, wana tamaa ya mali pia, maisha ya luxury wanayataka pia.

NB: katika maandamano ya chadema nchi nzima hapa karibuni moja ya ajenda ilikua ni kulinda rasilimali za nchi, je uliandamana?
 
Wewe tafuta ajira tu upunguze njaa yako
 
Unasema hela hazieleweki zinafanya kitu gani wakati unaishia maisha yako yote hapa Dar, tembe huko mikoani uone umeme ulivyosambazwa nchi nzima.

Tembea uone namna zahanati zinavyojengwa kwa kasi kubwa kila wilaya ya Tanzania. Mengi sana yanafanyika lakini ukiwa ni mwanaharakati tu anayewaza kwa mtazamo wa Dar pekee huwezi kuona kinachofanyika.
 
Waache waue nchi hata Mobutu alitumbua pesa za mikopo akiamini nchi itazilipa zote alipokuja kupigiwa hesabu pamoja na riba akaanza kujamba jamba. Kila mtu apambane awe na biashara na pia ajitahidi atafute fursa hadi nje ya nchi. Tanzania tunaelekea kuwa kama Congo pole pole. Tukifika katika stage hio watakaofaidika ni wale wenye contacts za biashara nje ya Tanzania. Ukifanikiwa kidogo tembelea Uganda, Kenya, Zambia utafuta connection ya bishara yako hapa Tanzania na huko. These contacts will be important for you when our country becomes a failed state.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…